CCM yaiteka Songea (picha)

Hata hivyo mdau mmoja aliyekwepo kwenye huo mkutano umenidokeza kwamba waliambiwa wabanane ili picha iweze kutoka ikiwa na watu wengi (Waliapangwa strategically) kwa ajili ya photo!
 
Nape na Gwanda la Kijani, kama unapenda Magwanda, vaa la khaki.


Dah watu nyomi,kulikuwa hamna hata nafasi ya mtu kugeuka,ama kweli Pipoz Pawa ni balaa
 
Sio bure, lazima Wamepikiwa Chakula CCM wanajua kuhatimisha Watu... Kwanini wanachama wana Nguo za CCM kwenye

Kila Mikutano?
...Dah!! Unanikumbusha yale masahani ya wali igunga mwaka jana. Kweli magamba wamepinda kabisa!!
 
Nape kaza buti 2015, tushinde kwa kishindo, tupo nyuma yako! usiwe na wasiwasi .
 
hivi hivyo vibibi ndio mnasema ccm imeishika songea?kweli mmefilisika yaani mmekwisha hamna chenu tena.
 
Inatokea unakuwa na matumaini kwamba utalifikisha mdomoni, unaliangalia kmwa kulitamani na matumaini, unauandaa mdomo vizuri, ile unakaribia tu, linadondoka na hulipati tena.

Ndivyo cdm ilivyo na matumaini, ikiamini kuwa ccm imekufa, ghafla wanashangaa CCM inawanachama kibaooo, na ushindi majimbo yote na Rais juu.
 
Back
Top Bottom