Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,450
- 25,593
Eeeh! kweli aisee hivi huyo mtoa pumba yuko wapi? lakini naona basi kama hayupo basi nafasi yake atakuwa amekaimu Nape.
aWanaJF,nimuda sasa sijamsikia yule mwanasiasa anayeongozwa na mkuno wa njaa ya tumbo,namaanisha Tambwe Hizza. Yuko wapi kwa sasa? Cjamsikia hata kwenye magazeti ya udaku. Wapi anaganga njaa kwa sasa?
Umenikumbusha Mbaali ndugu yangu!!a
Kafichwa ccmafisadi, alikimbizwa na fitna za maalim bora yeye aliwahi kabla hajatimuliwa Kama kina hr,doyo na wenzio
Ndugu,
Namtafuta mwana majigambo,
Namtafuta mwana Temeke wa kitengo cha Propaganda wakati wa Y. Makamba baada ya kutoka CUF.
Namtafuta nisikie majigambo yake, anipe takwimu za CCM inavyofanya vizuri katika chaguzi hasa mkoani Shinyanga.
Namtafuta ili aniambie kwanini Mh. Nape anafanya kazi zake?
Namtafuta anipe mipango yake kuhusiana na watakaotoa maoni kwenye tume ya Jaji Warioba (kama atapeleka watu)
Namtafuta Tambwe Issa, atakayemuona amwambie namtafuta.:juggle: