CCM yafuta kitengo cha Propaganda, Tambwe Hizza kwaheri

Eeeh! kweli aisee hivi huyo mtoa pumba yuko wapi? lakini naona basi kama hayupo basi nafasi yake atakuwa amekaimu Nape.
 
Tambwe Hiza ima yuko kwao Burundi au kwa mjomba wake Yusufu Makamba akifanya kazi za ndani. Vinginevyo hana lolote la kuisadia CCM baada ya kufunga ndoa na CUF. Maskini laiti angejiendea shule lau akaondokana na ugonjwa wa kumwaga pumba kama chekecheo.
 
WanaJF,nimuda sasa sijamsikia yule mwanasiasa anayeongozwa na mkuno wa njaa ya tumbo,namaanisha Tambwe Hizza. Yuko wapi kwa sasa? Cjamsikia hata kwenye magazeti ya udaku. Wapi anaganga njaa kwa sasa?
 
WanaJF,nimuda sasa sijamsikia yule mwanasiasa anayeongozwa na mkuno wa njaa ya tumbo,namaanisha Tambwe Hizza. Yuko wapi kwa sasa? Cjamsikia hata kwenye magazeti ya udaku. Wapi anaganga njaa kwa sasa?
a
Kafichwa ccmafisadi, alikimbizwa na fitna za maalim bora yeye aliwahi kabla hajatimuliwa Kama kina hr,doyo na wenzio
 
Jamani nina muda mrefu sana sijamwona wala kumsikia kada wa ccm anayeitwa tambwe hiza naomba kwa anayejua alipo atupashe habari
 
Mara ya mwisho alionekana anabishana na rafiki yake kwamba ni nani anawajibika kulipa shilingi mia tisa (tu) za kitanzania za mishikaki waliokula kwa mama ntilie. Ama kweli mpanda ngazi....
 
Ndugu,

Namtafuta mwana majigambo,
Namtafuta mwana Temeke wa kitengo cha Propaganda wakati wa Y. Makamba baada ya kutoka CUF.
Namtafuta nisikie majigambo yake, anipe takwimu za CCM inavyofanya vizuri katika chaguzi hasa mkoani Shinyanga.
Namtafuta ili aniambie kwanini Mh. Nape anafanya kazi zake?
Namtafuta anipe mipango yake kuhusiana na watakaotoa maoni kwenye tume ya Jaji Warioba (kama atapeleka watu)
Namtafuta Tambwe Issa, atakayemuona amwambie namtafuta.:juggle:
 
Ha ha ha ha kumbe ulikuwa hujui kwamba Tambwe ni BIG G ashatafunwa kaisha utamu katemwa katupwa hizi ndizo kazi za CCM kwa wale wanaojipendekeza kutoka vyama vya upinzani kwenda CCM
 
Tamwe anaishi mbagala majimatitu kwa sasa mi namuanaga sana vijiwe vya kahawa pale kizuiani na ana nguo yake moja ya kijani huwa habadilishagi
 
Ndugu,

Namtafuta mwana majigambo,
Namtafuta mwana Temeke wa kitengo cha Propaganda wakati wa Y. Makamba baada ya kutoka CUF.
Namtafuta nisikie majigambo yake, anipe takwimu za CCM inavyofanya vizuri katika chaguzi hasa mkoani Shinyanga.
Namtafuta ili aniambie kwanini Mh. Nape anafanya kazi zake?
Namtafuta anipe mipango yake kuhusiana na watakaotoa maoni kwenye tume ya Jaji Warioba (kama atapeleka watu)
Namtafuta Tambwe Issa, atakayemuona amwambie namtafuta.:juggle:

TAMBWE HIZA namfahamu tangu enzi za timu ya FURAHA FC, akiwa na baharia aitwaye Nurdin Hoza. Yupo Tandika kituo cha mwisho cha Daladala, utamkuta pale CHOOOOOOKA MBAYA nilimkuta kwenye kijiwe cha kahawa karibu na GEA MUSIC HOUSE jirani na wanapouza mapipa na madumu ya maji. Siasa kitu ingine bwana jamaa kajichokea hakuna propaganda tena pale anahesabu asubuhi na jioni. Mtafute pale kaka ila mambo ya takwimu alikuwa anaandikiwa asome yeye uwezo wake ni mdogo kwa hiyo hawezi kukumbuka kinachoendelea kwa sasa.
 
Kweli bro mwaijage,jamaa yuko chaliiii! Big G utamu umeisha,hiyo ndio chama twawala wapo wengine washaisha utamu kama Walid Kabouru,Dr Lamwai et al japo baadhi wanashule lakin hawjitokezi ktk jamii maana walitusaliti.
 
Lile jembe la propaganda chafu la CCM, Tambwe Hiza kwa zaidi ya miezi sita hatujaliona, mara ya mwisho nilisikia akiwa amelazwa hospitali baada ya kuugua ghafla, baada ya hapo sijamwona tena kwenye ulingo wa siasa za magamba,
mwenye details zozote naomba atujuze, maana tunamkosa sana!
 
Wameshamtumia na sasa keshakuwa kwishnehi.............
Chezea political weye...........................................
 
Katika watu waliokuwa wamanivutia kafu ni huyu richard tambwe hizza lkn baada ya kwenda magamba nkajiunga na makamanda wa ukweli kwene mapambano nkaachana na chama cha udini na ukabila (upemba) cuf
 
CCM ni wabaya sana, yaani hata ajira ya kuja kumwaga machudu ya magamba wenzie humu JF wameshindwa kumpa, basi hata kazi ya kudeki na kufuta vumbi pale Lumumba ataweza.
Nape na wenzako msaidieni huyu jamaa asije akafa bure.
 
Ni muda mrefu umepita huyu bwana hatujamsikia wala kumuona kabisa.. Jee..,alishahama tena ccm au bado yupo,,na kama yupo jee ana wadhifa ganii...? Mwenye habari zake hebu atujuze..
 
Back
Top Bottom