CCM yafuta kitengo cha Propaganda, Tambwe Hizza kwaheri



Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma akimnyamazisha Asha Likalangala alipoangua kilio baada ya kuingiwa na maneno ya Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipokuwa akihutubia katika mkutano wa hadhara Kilwa Masoko.

Nape akipokea kadi ya aliyekuwa katibu wa CUF kata ya Njinjo Kilwa Mohamed Likalangala katika mkutano wa hadhara Kilwa Kivinje.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishauriana jambo na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma kwenye mkutano Kilwa Kivinje mkoani Lindi.

Nape akishauriana jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa katika mkutano uliofanyika Kilwa Masoko, mkoani humo.



Nape akisakata muziki na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa katika mkutano wa Kilwa Masoko.

Nape akisakata muziki na vijana wasanii wa Kilwa Masoko.

Nape na Asha Abdallah Juma wakisindikizwa na umati wa wakazi wa Kilwa Kivinje baada ya mkutano wa hadhara.

Wana CCM Kilwa Kivinje wakimshangilia Nape wakati akiondoka mara baada ya kumalizika mkutano wa hadhara.(Picha na Bashiri Nkoromo).

Labda Nape anafaa kuchukuwa nafasi ya Mkama? ndani ya CCM! au hizi ni safari tu kujitengenezea fedha za Posho! Maana CCM wana wazimu wa Posho.
 
Siwezi kupoteza muda kumwongelea kijana Nape, mtu ambaye alishindwa kufaulu hata ule mtihani wa kidato cha nne ili aende kidato cha tano. Akaamua kutafuta private teacher kwaajili ya masomo ya kidato cha tano na sita, akafanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate, akaishia kupata division 0. Kutoka hapo sijui alipitapita vipi, nasikia kuwa ana shahada!!!

Mkuu kwani hujui shahada za CCM, wakina Makongoro, Kamala, etc na PhD fake?
 
Irrelevant and far fetched. Tujadili suala la Tambwe Hizza kumwagwa, tukio ambalo litakipa chama heshima.
 
Hatimaye ccm imekifuta rasmi kitengo cha propaganda na kubuni kitengo kipya ambacho kitajulikana kama kitengo cha mawasiliano ya Umma. ( Public Relation ) taarifa hii ni kwa mujibu wa ofisa habari wa CCM leo kwa waandishi wa Habari, hii maana yake ni kwamba Tambwe Hiza sasa atafute shughuli ya kuganga njaa kwani wapo vija na wenye elimu nzuri ndani ya CCM wanaostahili kupewa nafasi hii ya PR.

My Take: Pamoja sikubaliani na CCM kwa mambo mengi lakini kwenye hili nawapa hongera maana hakuna mtu aliekuwa anakerwa na neno propaganda kama mimi, na ninaamini Nape ametoa mchango mkubwa kufikiwa uamuzi huu, maana niliwahi kumshauri hapa hapa JF kwamba aongee na magamba wenzake wafute hicho kitengo.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu na niseme hawa ccm waishukuru JF na waendelee kusoma hoja zenye mashiko maana kuwa na kitu kinaitwa KITENGO CHA PROPAGANDA inabidi uwe na kichwa cha mwendawazimu hivi, but again ccm sio wazima vichwani are they?
 
duh! jamaa itakuaje? JF kapigwa ban hivyo atakosa buku 2 za nape! huko nako wamemtema, loo!
 
My Take: Pamoja sikubaliani na CCM kwa mambo mengi lakini kwenye hili nawapa hongera maana hakuna mtu aliekuwa anakerwa na neno propaganda kama mimi, na ninaamini Nape ametoa mchango mkubwa kufikiwa uamuzi huu, maana niliwahi kumshauri hapa hapa JF kwamba aongee na magamba wenzake wafute hicho kitengo.

tatizo letu ni kuwa hata mtu akibadilisha mkao wa fenicha yake nyumbani tunampongeza huku tukijua ya kuwa hakuna tija pale.................
 
Nakubaliana na wewe Mkuu na niseme hawa ccm waishukuru JF na waendelee kusoma hoja zenye mashiko maana kuwa na kitu kinaitwa KITENGO CHA PROPAGANDA inabidi uwe na kichwa cha mwendawazimu hivi, but again ccm sio wazima vichwani are they?

nionvyo ni kuwa hapakuwepo tofauti zenye mashiko kati ya kazi za nape na za huyu popobawa......................aliruka cuf akidhani kutua ccm ndiko atapata mkate wake..............labda arudi tena cuf...............................jk atampooza kwa ubalozi.....ccm inawaunganisha makada wake kwa hongo za vyeo ndani na nje ya serikali...............
 
Wameanza kuelewa kidogo kuwa watu wanataka mabadiliko.

kujivua gamba maana yake ni kumtupia lowassa virago vyake ili asije kuwa mzigo usiobebeka comes 2015......................
 
Tambwe hiza anangojea kuteuliwa kuwa DC kuchukua nafasi ya nape wana akili sana hawa
 
whooops...jamaa alikuwa anakera sana..but sio suluhisho..CCM bado wameoza! It will take more that a century for CCM to be trusted again!
 
Back
Top Bottom