CCM yafuta kitengo cha Propaganda, Tambwe Hizza kwaheri

Hiyo nafasi ya mahusiano ya jamii Da Shy anaimudu na inamfaa!! Mengine pembeni kwa sasa.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu na niseme hawa ccm waishukuru JF na waendelee kusoma hoja zenye mashiko maana kuwa na kitu kinaitwa KITENGO CHA PROPAGANDA inabidi uwe na kichwa cha mwendawazimu hivi, but again ccm sio wazima vichwani are they?
Ni kweli kwa hili nina uhakika Nape ametoa mchango wake kufuta vitengo vya kipuuzi ( simaanishi kwamba Nape ni kiongozi mzuri ). na hata yeye Nape inabidi cheo chake aitwe ofisa Habari na sio katibu mwenezi hayo mambo yameshapitwa na wakati.
Hii ni changamoto kwa CHADEMA ambao tumekuwa tukiwashauri kila siku lakini wameweka pamba masikioni, mfano mzuri kazi ya PR kwa CHADEMA inafanywa na Regia Mtema, huu ni udhaifu mkubwa kwa CHADEMA.
 
Hawa viongozi wa upinzani wanaokwenda CCM wangekuwa wanajiangalia sana kwa sababu CCM ikiwatumia wanawageuza Tambala bovu kama Lamwai,Kaborou,Hiza , na wengine wengi kwa kweli yaani wamewamaliza Kisiasa kabisa liwe fundisho kwa malaya wa kisiasa
Nakubaliana na wewe Public relation person wa chadema ni hovyo,na hata idara ya habari na uenezi ni hovyo kabisa sijui kwa nini wang'ang'ania watu wasiojiweza wakati wana vijana wenye nguvu kabisa,Katibu mkuu vipi kaziba masikio watu wamesema weeh wanataka tuwaambie kwa kutumia matarumbeta
 
Hiko kitengo kubadilishwa jina kunamtoaje Tambwe nje ya CCM???

Si unajua Mibongo ilivyo person-centered badala ya issue-centered. Kila siku ni watu kudai CV za huyu na yule na maada zikibandikwa haziwezi kuwa popular kama hazina jina la fulani kwenye thread header. Sasa hapo Mtoa Maada keshaanza kumwaga pumba kibao, lakini ukweli ni kwamba hana ushahidi wowote kama huyo Tambwe Hizza kweli kafukuzwa CCM. Halafu unajiuliza iweje mtu afukuzwe CCM kama ni suala la kitengo alichokuwa akiongoza kubadilishwa jina tu? Huu ni uzushi mtupu!
 
Hiko kitengo kubadilishwa jina kunamtoaje Tambwe nje ya CCM???
Tambwe hakufuata chama wala itikadi CCM, ni lile tumbo lake kama pipa ndio lilizidiwa njaa, sasa yanapofikiwa maamuzi kama haya na yeye akawa hana sehemu ya kugangia njaa unadhani utamuona tena CCM na kile kiherehere?

Pili wacha kupotosha kitengo hakijabadilishwa jina bali kimevunjwa. na wako vijana wengi wasomi wa CCM ambao naamini ndio watapewa ulaji huo. Tambwe ni sawa na condom imeshatumika sasa ni muda wa kuitupa kwenye dustbin. kumbuka kuondoka kwa Makamba kina Tambwe & co, wapo kwenye hali ngumu.
Ni Makamba pekee ndio alikuwa anawalea vilaza kama Tambwe Hiza. ingawa CCM haina jipya lakini zama za wapuuzi kama Tambwe zimekwisha.
 
Si unajua Mibongo ilivyo person-centered badala ya issue-centered. Kila siku ni watu kudai CV za huyu na yule na maada zikibandikwa haziwezi kuwa popular kama hazina jina la fulani kwenye thread header. Sasa hapo Mtoa Maada keshaanza kumwaga pumba kibao, lakini ukweli ni kwamba hana ushahidi wowote kama huyo Tambwe Hizza kweli kafukuzwa CCM. Halafu unajiuliza iweje mtu afukuzwe CCM kama ni suala la kitengo alichokuwa akiongoza kubadilishwa jina tu? Huu ni uzushi mtupu!
wewe hujui ulisemalo, unamaanisha sekretariet ya ccm ilipovunjwa Makamba alirudi madarakani? Usidhani mimi naandika thread hapa kujifurahisha, Kikwete wakati wa kampeni za urais alikitumia kikundi kimoja kinachojulikana kama vijana zaidi kwenye kampeni zake badala ya Uvccm na kilikuwa kinaratibiwa na Abrahaman kinana na hao vijana waliahidiwa ajila baada uchaguzi lakini ahadi hiyo haijatimizwa wengi bado hawana ajila.

Ni Makamba ndio alikuwa kikwazo kwa sekretariet yake kujaza mambumbu, lakini ukweli ni kwamba kwa sasa Tambwe hana kazi tena pale. mwenye masikio na asikie na kama kazi yako ni kuleta ligi hapa JF pole sana. Shy rose angekuwa hana kazi ni watu wa aina yake ndio watakaopewa ajila hiyo.
 
Kubadili majina ya vitengo hivi kutaisaidiaje CCM? Kinachofanyika kwenye kitengo hiki kitaacha kuwa propaganda kweli? Mawasiliano kwa UMMA ingekuwa ni kijisehemu tu kwenye kitengo hicho cha Propaganda na Muhingo Rweyemamu akateuliwa kukiongoza.
 
Tambwe hakufuata chama wala itikadi CCM, ni lile tumbo lake kama pipa ndio lilizidiwa njaa, sasa yanapofikiwa maamuzi kama haya na yeye akawa hana sehemu ya kugangia njaa unadhani utamuona tena CCM na kile kiherehere?

Pili wacha kupotosha kitengo hakijabadilishwa jina bali kimevunjwa. na wako vijana wengi wasomi wa CCM ambao naamini ndio watapewa ulaji huo. Tambwe ni sawa na condom imeshatumika sasa ni muda wa kuitupa kwenye dustbin. kumbuka kuondoka kwa Makamba kina Tambwe & co, wapo kwenye hali ngumu.
Ni Makamba pekee ndio alikuwa anawalea vilaza kama Tambwe Hiza. ingawa CCM haina jipya lakini zama za wapuuzi kama Tambwe zimekwisha.

Bado hujaonyesha kwamba Tambwe Hizza kafukuzwa CCM. Title yako inasema Tambe nje CCM je kaondolewa CCM or not? Maana wewe ndiyo una potosha watu na title yako.
 
Kubadili majina ya vitengo hivi kutaisaidiaje CCM? Kinachofanyika kwenye kitengo hiki kitaacha kuwa propaganda kweli? Mawasiliano kwa UMMA ingekuwa ni kijisehemu tu kwenye kitengo hicho cha Propaganda na Muhingo Rweyemamu akateuliwa kukiongoza.
Ni kweli mkuu sasa ccm haiwezi kuleta lolote jipya, lakini kuna maneno yanaudhi, kama neno zidumu fikra sahihi za mwenyekiti, hizi ni kauli za kuudhi na ya pili ni hii ya kitengo cha propaganda haya ni matumizi ya lugha za kijinga kabisa. sasa kama angalau zinaondolewa lugha za maudhi kwa ccm hayo ni mageuzi maana usitegemee maendeleo yoyote kutoka ccm.

Mimi nilichofanya ni kuwapongeza kwa hili dogo la kuondoa hii lugha ya mauzi, lakini kama kuna mtu aliekuwa anategemea ccm kujivuwa gamba na kuwatosa Chenge na Lowasa nampa pole sana, inaonekana hamuijui ccm. kwa taarifa yenu ccm wakikwambia twende kushoto wewe nenda kulia na utawakuta wote huko walishafika kabla yako.
 
Bado hujaonyesha kwamba Tambwe Hizza kafukuzwa CCM. Title yako inasema Tambe nje CCM je kaondolewa CCM or not? Maana wewe ndiyo una potosha watu na title yako.
Wewe ni mbumbumbu, wakati magazeti yalipoandika Makamba nje ulihoji kama kafukuzwa CCM? soma heading halafu soma content ni wapi haieleweki?
 
Hatimaye ccm imekifuta rasmi kitengo cha propaganda na kubuni kitengo kipya ambacho kitajulikana kama kitengo cha mawasiliano ya Umma. ( Public Relation ) taarifa hii ni kwa mujibu wa ofisa habari wa CCM leo kwa waandishi wa Habari, hii maana yake ni kwamba Tambwe Hiza sasa atafute shughuli ya kuganga njaa kwani wapo vija na wenye elimu nzuri ndani ya CCM wanaostahili kupewa nafasi hii ya PR.

My Take: Pamoja sikubaliani na CCM kwa mambo mengi lakini kwenye hili nawapa hongera maana hakuna mtu aliekuwa anakerwa na neno propaganda kama mimi, na ninaamini Nape ametoa mchango mkubwa kufikiwa uamuzi huu, maana niliwahi kumshauri hapa hapa JF kwamba aongee na magamba wenzake wafute hicho kitengo.

Mkuu hii Public Relations na Katibu Mwenezi itakuwaje hakutakuwa na mgongano?
 
Wewe ni mbumbumbu, wakati magazeti yalipoandika Makamba nje ulihoji kama kafukuzwa CCM? soma heading halafu soma content ni wapi haieleweki?

Wewe ndiyo mbumbumbu. Unajuaje kwamba hiyo ya Makamba sikuhoji au la? Heading yako na context ni tofauti. Au mkuu mwalimu hakukufundisha kuandika? Hahahahaha.
 
hapa tusaidiane zaidi nini tofauti ya Nape na Tambwe?

Ishu sio tofauti ya Nape na Tambwe Hizza. Ishu ni jinsi gani mambo yanavyoendeshwa. CCM ndicho chama kilichopo madarakani, mimi binafsi na pia naamini na wananchi wenzangu wengi tungependa mambo yaende kama tunavyotarajia na si kama yanavyoendeshwa hivi sasa. Angalau inatia moyo kuona jamaa wanasikia matakwa yetu kwani ilishafika hatua walituona sisi wananchi si kitu kabisa. Suala ni kwamba jitihada za kuwafanya wabadilike ziendelee kwa kuwa bado wapo madarakani na zaidi tufanye jitihada kuwawajibisha kwani kuwaadabisha kunaonyesha kuzaa matunda
 
Mkuu hii Public Relations na Katibu Mwenezi itakuwaje hakutakuwa na mgongano?
Nape ndio anatakiwa awe ofisa habari badala ya katibu mwenezi, Hili neno mwenezi limeshapitwa na wakati, hili lilikuwa na maana enzi za telegram. hapa wachague jina sahihi watakalopenda kutumia either PR au Ofisa habari, kitengo hichi hakiwezi kuwa na watu wote hawa wawili. BIG NO.
 
Back
Top Bottom