CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni

USA!!
utakuta mtoto wa chini kabisa anayeweza kuhudhuria kikako kama hicho ni yule wa RAS wengine woote Mkurugenzi, waziri, kamishna, katibu mkuu, mkuu X, na wanaofanana na hayo majina.
Wale wapambanaji walotoka mabagala na mwananyamala ambao hata fika yao huko ilikuwa ya kumkanda mkanda wala hawana wazo la kumsikiliza Nepi!!
 
user-online.png
Mikole007
Today 03:46
#1


Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 16th June 2011
Posts : 10

Rep Power : 0






user-online.png
Nipe tano
Today 03:58
#7


Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 16th June 2011
Posts : 58

Rep Power : 21






user-offline.png
zamwamwa
Today 04:07
#10


Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 16th June 2011
Posts : 11

Rep Power : 0












Kweli nape amewaweza,hata joine date yenu humu ina mana ni siku moja???kweli nape yuko kazini.

Kaka mbona uko busy kutuambia mchangiaji kajiunga lini. Kwani wenye haki ya kuchangia ni wale wakongwe pekee. Jadili hoja yake, hilo la uanachama waachie Mods.






kama hujui maandishi hata picha huwezi kuitambua?kuna hoja gani hapo zaidi ya kuleta upupu
 
ama kweli ccm inatisha; yaani chadema inafifia taratibu kama kaniki, muda si mrefu itakuwa ccm-c:

mkuu inatisha nini?
Huamini kwamba ccm itafia mikonono mwa jk? Subiria uone, watendaji wa kikwete badala ya kuwashughulikia wananchi wao wanafanya siasa.
Tuombe uzima ili tushuhudie ccm ikianguka kama utawala wa rumi ulivyo anguka
 
Wamezidi hao tatizo lao kila siku wanafikiri ni kampeni za uchaguzi. Watapata shida sana kwa Nape the guy ni smart sana kabla sijamsikiliza nilidhani ni wale wale wa CCM. Lakini anajenga hoja vizuri na anachokisema ni ukweli mtupu. Kama kweli CCM ya sasa ndo hii ya akina nape hakika tutafika anakiri pale waliposhindwa na kinachonifurahisha zaidi anatoa suluhu kwa yale yanayowezekana.

Like birds fly together, labda vichwa vyenu vinafanana!!
 
Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.

Malori US impossible, therefore only one thing is behind that minority turnout and that is POSHO. Hapo lazima aliyehudhuria kaondoka na kibahasha. Teh!teh! Magamba bana!
 
Ukweli ni kwamba Nape anawanyima usingizi hawa jamaa toka alipoteuliwa kuwa Katibu Mwenezi na jinsi wao pamoja na mafisadi gamba wanavyomlalamikia hupati shida kujua kwamba kumbe hawa walikuwa na ushirika usio mtakatifu dhidi ya wana wa nchi hii. Nape kumbuka kwamba mti unaotumiwa mawe sana ni ule wenye matunda matamu. Mbona hawakuwa wakilialia hivi wakati wa Chiligati?

Mbopo,katika makundi yanayovuana nguo Magamba wewe uko kundi gani?
 
Nape+pamoja+na+viongozi+wa+Halmahauri+kuu+ya++Tawi+la+Houston.JPG


Nape+pamoja+na+viongozi+wa+Halmahauri+kuu+ya++Tawi+la+Houston.JPG


Huu ndio mtikiso wa CCM kwa Chadema? Ni afadhali unapoleta mada lete na dondoo au taswiras inayotetea hoja yako, vinginevyo unachoongelea hapa ni kitu kipo hewani ambacho hakina maudhui ya kuweleweka kujadili, na haina kiwango chenye mvuto wa kujadili.
Mkutano gani huu unawatu nane au ametembelea familia moja, Ufafanuzu tafadhali.
 
...wanafiki hamna lolote njaa zenu zinawasumbua........na shida za kuishi kwa makanjanja! Subiri immigration laws km za arizona tuone km mtapona na huyo Nape km hatawakimbia mkishafurumushwa....

Pigana kijana jenga chama chetu sisi tupo nyuma yenu. Mwaka huu tumewakamata pabaya wataisoma namba.
 
Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.

Hamna lolote nyie wala hamjawahi kutusaidia watanzania na taifa lao chochote. Mchango wenu katika taifa letu ni mdogo kulio hata wa machinga au mtanzania yeyote mwenye kupata kipato kidogo (angalu tunanaweza sema analipa kodi-VAT kwa taifa lake, na ama kupinga dhuruma). Hoja zenu mnazojenga zote ni hasara na hata uchungu na nchi hii hamna. Tulitegemea kuwepo kwenu nje kuwa chachu ya maendeleo kwa nchi yetu lakini kama bado fikra zenu zinawaza namna nawahesabu hasara kwetu. Bila shaka ndo nyie ambao wazazi wenu wanapigia debe uraia wa nchi mbili.
 
Mkimuona mwana CDM huku wajulisheni uhamiaji, wengi wao hawana visa.

Wewe ni mpumbavu wa kufa .I have lived US na Ulaya miaka kadhaa kwa taarifa yako wanao ongoza kujilipua ni watoto wa mizee ya CCM .Watu wote hao tunaweza kuwataja na status zao za kuunga unga leo unasema Chadema ?
 
Mleta hajawahi kurudi Tanzania tangia azamie na hajui upupu wa Nape huku .Nape hana Utanzania wala haongelei Utaifa .Ni Mkabila , mbaguzi na mshenzi tu .Mleta mada elimu shule ya kata .Utajua nini wewe ?
 
Mikole007;Pigana kijana jenga chama chetu sisi tupo nyuma yenu. Mwaka huu tumewakamata pabaya wataisoma namba.
Kwenye RED hapo ni wewe na nani?
Kazi kwelikweli!
 
user-online.png
Mikole007
Today 03:46


















































#1

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 16th June 2011
Posts : 10

Rep Power : 0




user-online.png
Nipe tano
Today 03:58
#7

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 16th June 2011
Posts : 58

Rep Power : 21




user-offline.png
zamwamwa
Today 04:07
#10

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 16th June 2011
Posts : 11

Rep Power : 0










Kweli nape amewaweza,hata joine date yenu humu ina mana ni siku moja???kweli nape yuko kazini.







Mkuu umefanya kazi ya ziada. Safi sana.
 
Chadema ni ninoma mkutano mfanye nyie chadema inahusikaje hapo? Au hofu nini?
 
Ktk mataifa ambayo raia wake wanaoshi nje hawajitambui..Tz ni moja wapo..polen sana..matatizo yote haya u still praise...ndo maana tunachekwa...
 
CDM ilishakufa kitambo.
Sifa zao ni kufanya vurugu.
Waende unguja wakawavumie kina mama hijabu.
OTIS
Ule ugomvi wa wazazi wako uliishia wapi? maana maneno ya mamayoko hayakuwa ya kistaarabu, hata kama baba yako sio "biological father" wako, haikupaswa mama yako ayaseme hadharani, ona sasa baba yako alivyokasirika na kumvua ushungu mama yako hadharani! Nawewe ulivyo mjinga ukaanza kumpakazia baba yako eti amefanya vile kwakuwa ni mwanamagwanda, kijana mzima hovyoooo!
 
Back
Top Bottom