Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Ni hapo ninapo kupendea mheshimiwa Mbopo, kwa kweli hatakama uwezo wako wa akili yani IQ yako ni ndogo, lakini unakubali bila ukakasi kwamba mafisadi ni sehemu ya CCM na mjinga mwenzako Nepi aliingizwa mkenge asio ujua wa kuwashambulia magwiji hao bila kuwa na mkakati wa maana zaidi ya kubwata kama mbwa aliyetambalajika. Kudadadeki walah bado siku chache atarudi nyumbani Singida kwa mama yake mikono nyuma akiwa ameshughurikiwa kisawasawa!Ukweli ni kwamba Nape anawanyima usingizi hawa jamaa toka alipoteuliwa kuwa Katibu Mwenezi na jinsi wao pamoja na mafisadi gamba wanavyomlalamikia hupati shida kujua kwamba kumbe hawa walikuwa na ushirika usio mtakatifu dhidi ya wana wa nchi hii. Nape kumbuka kwamba mti unaotumiwa mawe sana ni ule wenye matunda matamu. Mbona hawakuwa wakilialia hivi wakati wa Chiligati?