CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni

Siamini hao jamaa wako marekani! Na kama kweli wapo na wanongea ushuzi hivo basi kuwepo kwao marekani hakujawabadilisha akili mgando. Sasa mnachoshangilia hapo nini? Mnashindwa hata kujua ni nini kilichomleta nape hapo? Nilijua ukitoka nje ya nchi mawazo yanatanuka kumbe no. Mie niko us na Sina chama chochote pale home lakini nakerwa sana na jinsi ccm inavyowafanya watanzania wenzetu mazezeta. Huyo huyo nape amekuwa anafanya mikutano anaishia kuwataukana watu then ninyi mnaomba Tanzania iwe na mtu kama huyo. Shame on you all! Kuleni kodi zetu lakini ipo siku mtazirudisha. Nimeudhika sana kusikia mnatoa maoni utadhani mko shimoni.
 
Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.

Nape si alikuja kuongea na wanachama wa ccm? Hao wa Chadema walitoka wapi? Kadi zilikuwa zinaonyeshwa mlangoni?
 
Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.

CDM walikuambia wanaenda kuutumia mkutano huo? wao hawawezi kwenda kujadili na wtz waishio huko, au wenyewe siyo wananchi wa tz?
 
Siamini hao jamaa wako marekani! Na kama kweli wapo na wanongea ushuzi hivo basi kuwepo kwao marekani hakujawabadilisha akili mgando. Sasa mnachoshangilia hapo nini? Mnashindwa hata kujua ni nini kilichomleta nape hapo? Nilijua ukitoka nje ya nchi mawazo yanatanuka kumbe no. Mie niko us na Sina chama chochote pale home lakini nakerwa sana na jinsi ccm inavyowafanya watanzania wenzetu mazezeta. Huyo huyo nape amekuwa anafanya mikutano anaishia kuwataukana watu then ninyi mnaomba Tanzania iwe na mtu kama huyo. Shame on you all! Kuleni kodi zetu lakini ipo siku mtazirudisha. Nimeudhika sana kusikia mnatoa maoni utadhani mko shimoni.

hakuna cha marekani hapo wala nini.Ni mtu mmoja anabadilisha ID na kuandika upupu tu! Tushawazoea hao!
 
Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.
sasa mkutano wa CCM chadema wafate nini?
 
Umeona eeh yaani majitu haiwezi kwenda hata nyumbani wapo wanababaika na Nape kisa kujipendekeza. Sasa munapoteza muda wa nini? Tafuteni kwanza makaratasi ya kwenda salimia bibi zenu na wazazi wenu Tanzania CCM haitawapa makaratasi acheni ujinga munatumiwa tuu
 
Tatizo lenu ni utoto, kujishuku kila kona, you try to use nuclear bomb even where you just need a stick to win people!! Mi niko ughaibuni na ni chadema damu damu, lakini yanapokuja masuala ya kitaifa siwezi kufanya upuuzi wa kujiona ni bora au mwenye haki hata kama kuna kauli au dalili za kutaka kuonyeshana nani zaidi. Jaribuni kujioni Watanzania mnapokuwa kwenye sehemu kama hizo siyo kujiona CCM na CDM kila wakati.

Hujasema full stori ilikuwaje, how do we know that they wanted to overlap your meeting, pengine zilikuwa ni challenges za kawaida kabisa ila mkachukulia wanataka kupambana na CCM. Teh teh teh teh!!

Its simple logic and easy to implement!!

iko sahihi kabisa. labda waeleze, hao wanaodhaniwa kuwa CDM walisema chochote? kama walihudhuria hapo ili kujua nini kinaendelea ni kuovalap CCM? Excellent yuko juu, kafanya kautafiti ambako ni kazuri kuelezea watu hao wanojigmba ni watu wa namna gani wote wamejoin 16 june 2011, which means wametumwa kumpaisha NAPE. Upuuzi mtupu 2
 
Hapa naamini kumbe Nape anakubalika

Atakubalika je mtu wa maneno matupu bila vitendo alisema september ni mwisho wa mafisadi wanatakiwa wawe wamejivua gamba na sasa ni mwezi wa ngapi bila kuchukua maamuzi yoyote
 
Wamezidi hao tatizo lao kila siku wanafikiri ni kampeni za uchaguzi. Watapata shida sana kwa Nape the guy ni smart sana kabla sijamsikiliza nilidhani ni wale wale wa CCM. Lakini anajenga hoja vizuri na anachokisema ni ukweli mtupu. Kama kweli CCM ya sasa ndo hii ya akina nape hakika tutafika anakiri pale waliposhindwa na kinachonifurahisha zaidi anatoa suluhu kwa yale yanayowezekana.

Suluhu yenyewe siya maneno tu na sio vitendo na tutafika je kwa maneno matupu? Na akubali anguko hili la ccm
 
Wamezidi hao tatizo lao kila siku wanafikiri ni kampeni za uchaguzi. Watapata shida sana kwa Nape the guy ni smart sana kabla sijamsikiliza nilidhani ni wale wale wa CCM. Lakini anajenga hoja vizuri na anachokisema ni ukweli mtupu. Kama kweli CCM ya sasa ndo hii ya akina nape hakika tutafika anakiri pale waliposhindwa na kinachonifurahisha zaidi anatoa suluhu kwa yale yanayowezekana.

Yani wewe bado uko unasifia siasa za maneno mazuri na mipango mizuri ya sisemu? siku zote hizo sera na mipango yao inafurahisha kusikiliza na kutia matumaini lakini hayo ni changa la macho tuu pima kwa wanachofanya na kinachotokea in real life na madudu wanayofanya, habari ya kusubiria hayo wanayohubiri kilasiku na kuyasubiri yaje imeshapita, hawatakaa wafikie hayo mahubiri yao kwa watu walionao, hawa watu wasio na uzalendo waliojawa na ubinafsi na ulafi. Someni historia na events za siasa za TZ na sio kila siku akitokea mtu na pepelepe zake mnasema tusubiri labda itakua, haitakuja kua kamwe kwa kupitia hawa majamaa unless wafe wazaliwe upya lakini sio miongoni mwao.
 
Jamaa anaongelea Ugumu wa Maisha Tanzania

Si umesababishwa na wao ccm? Sukari badala yakuizuia mipikani wanaizuia katikati ya njia ambayo inasababisha wananchi wa mipakani kuzidi kupata taabu
 
Nape anaongea sasa hivi na Watanzania wa Houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na Watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.

Una akili kama za pimbi wewe,yani unataka tujue kuwa huko USA nini? Acha mambo ya kitoto mkuu...leta hoja huyo jamaa kaongea uharo gani na sio kuleta mawazo majitaka hapa...
 
Ngoma inogile piga kote kote tunapiga angani aridhini majini ughaubuni, hawatuwezi hao. Hao wataliweza dudu kubwa kama CCM chama kubwa duniani linalongoza kwa wanachama wengi na mfumo madhubuti.

Hakika kama kwa Gadaffe imewezekana ambae alikuwa anawapatia wananchi wake kila kitu na alikuwa na nguvu kubwa ikiwemo ya kijeshi, ccm si lolote si chochote itawezekana tu.
 
box boys bwana!!!! Mnaongea kuijenga Tz wakati kipato chenu kinaishia USA mnashindwa hata kuwatumia hela ya vocha ya simu wazazi wenu.
Wazazi wao ndio waliowapeleka huko USA, na Nape katumwa akawasalimie, si ajabu na kuwapelekea hela za matumizi.
 
nape anaongea sasa hivi na watanzania wa houston hapa. Chadema walitaka kuutumia mkutano wetu ambao unalengo zuri la kujenga nchi yetu wakajikuta wapo wawili tu. Tunashukuru kikao kinaenda vizuri mambo ya siasa yameisha watu wanachangia vizuri na watanzania waliochangia mpaka sasa wanajenga hoja nzuri sana za kuijenga nchi. Nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea.
mtu huyu ni tatizo huyuni mtu wa ccm sie chadema tuende kufanya nini kwenye mkutano wa ambao angefanya na madiwani wake wa ccm huko tanzania.sisi tukomarekani kwa ajili ya njaa iliyosababishwa na ccm miaka 50 iliyopita ,nitakuwa na mchango gani wa kuijenga nchi yangu wakatikipato ninachopata cha kufagia bucha za nyama chote ninalipia gharama za maisha ya huku,huyu mwenzetu nadhani hawa wamo kwenye payroll ya kula kulala ubalozini.raisi wao wa ccm ni tatizo alivyokuja hapa anawachongea watanzania kwamba sisi tukiwatumia fedha nyie ili mtutafutie viwanja mnakula sasa tuanze kupitishia wizara ya mabo ya nje,we mwache atapitishiwa hata hela za madawa ya kulevya ndo atashika adabu sasa mie na akili yangu nikasikilize hilo vuvuzela bora nikatafute bucha nyingine ya kupiga deki leo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom