CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

Baada ya kupigwa chini na JK sasa mh Maige ni kama kachanganyikiwa...kuna baadhi ya watu wake waliokua wakimpa pole ya kuvuliwa ubosi amewambia kwamba ccm siyo mama yake eti aipigie magoti na haoni tatizo kupigwa chini maana kafanywa mbuzi wa kafara!!!!!

Kauli hii inaonyesha alijaribu kumbembeleza mkulu lakini kamchomolea.

ana kampuni ya transport & logistics inaingiza USD 2O,000 net profit kwa mwezi! Hawa mawaziri waongo sana. Mtu ana malori zaidi ya kumi hapati kiwango hicho eti yeye ana lori mbili anadai he earns that amount! Oh my god!
 
Watanzania sijui wakoje. Wanashupalia shutuma ambazo hata hawajazifanyia uchunguzi. Kwa taarifa yenu Ni kweli, Maige kafanywa mbuzi wa kafara. Lembeli alihongwa na wafanyabiashara waliokosa vitalu ili amchafue Maige, aondolewe. Lengo ni Ugawaji wa vitalu urudiwe upya ili wazawa wanyang'wanye. Matumaini yao ni kwamba akija waziri mpya watarudia ugawaji wa vitalu. Maige ni kijana nayejituma, mwenye upeo na uelewa wa mambo. Hata kama wamepiga fitna, naamini kuna siku ukweli utajulikana.
 
njoo tupigie magot ya msamaha ss watanzania kwa kutorosha wanyama poli hai kwenda nchi za nje, nadhani mlivyokosa uzalendo mnaweza hata kubaka watoto wenu wa kuzaa wenyewe!!!, wezi wakubwa nyie!, naomba mali zenu mlizotuibia watz km hamturudishii ziharibike kwa namna yoyote itakavyokuwa, shame on you MAIGE!
 
Jana nilipishana nae pale salamander ametuna ndani ya lile v8 nkajisemea yamebaki masaa machache litakuwa halikuhusu hilo pepo la miguu minne.
 
Hapanaaa', jamaa aaca mchecheto wa kumwagwaaa'''. Umesanya za kutosha,tulia uangalie uelekeo mpya. Awe au asiwe Mama yako''.....umesomeshwa chini ya Dola la sisiem, hebu shukuru Mungu,sisi wengine japo tumekomaa na sisiem kwa miaka lukuki na hatuna hata chapaa bado tunaaminia ONE day yes
 
ndugu zangu wa JF naombeni tusikurupuke ku comment ili hali hatujaambiwa ukweli wa taarifa husika
 
kweli sisiem si mama yake alitegemea angebebwa jitu linauza wanyama wetu tena wakiwa hai alafu ategemee kubebwa bado awekwe ndani kabisa
 
Swali langu sasa ni je Ule mkopo USD400,000 atalipa na income za yale malori mawili?????????????
Hakuna cha mkopo wala nini, ile ilikuwa ni geresha tu watu wana data zake za crdb na hata ikulu inajua hilo, ni vema tumbane kimei atudadavulie hapa kwanini benki yake inakuwa pango la wanyang'anyi.
 
hii issue ya wasukuma karibia inaanza kuleta maana aisee....
 
Baada ya kupigwa chini na JK sasa mh Maige ni kama kachanganyikiwa...kuna baadhi ya watu wake waliokua wakimpa pole ya kuvuliwa ubosi amewambia kwamba ccm siyo mama yake eti aipigie magoti na haoni tatizo kupigwa chini maana kafanywa mbuzi wa kafara!!!!!

Kauli hii inaonyesha alijaribu kumbembeleza mkulu lakini kamchomolea.
Mkuu hukumbuki pale Bungeni aliomba Lukuvi aombe suala lake litolewe majibu kikao kijacho cha june kwa kuwa hakupewa nafasi ya kusoma tuhima na kuzijibu. Masikini ameshindwa kufika mwezi wa sita itabidi ampatie Kagasheki hayo majibu. Amekuwa kama Mussa ameshindwa kufika nchi ya asali na maziwa.
 
natamani tungekuwa na sheria za china tukawaweka national stadium tukawanyongea hapo hapo kama china
kuuza mali asili zetu kwa manufaa yake afu tuwaache haiwezekani kwa kweli naumia sana basi tu sheria zetu
haziruhusu hivo.
 
kama benki walimpa mkopo kwa kufuata cash flow ya uwaziri ndio tatizo. Ila kama ni kwa malori marejesho yatakuja. Vinginevyo km amesema hivyo mimi sioni kama ni tatizo. Kwenye siasa kuna kubounce back (come back kid)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom