CCM na CUF wanaungana kuikabili M4C

makala hii imeenda shule hongera sana mleta maada. lakini nasema ukweli utabaki ukweli tu hata wakizuia CDM kufanya mikutano wananchi wanajua kuna nini kinaendelea ndani ya nchi kwa hiyo hofu hatuna ccm lazima ionje joto la jiwe 2015
 
Mpende mumeo, mke kaona mume anazidiwa nguvu ameamua kujitoa kimaso maso kuokoa jahazi lisizame, ndoa tamu we acha tu.
 
ooh Huko Arusha ubunifu kwa kwenda mbele kwa kweli inagusa hii mada mabadiliko huletwa na kuchochewa na wazalendo
 
Kwani hamkumbuki alichokifanya MAMA SALMA baada kuona jaazi linakwenda mlama?kama mnakumbuka,msishangae la sisiem na uhamusho a-k-a CUF
 
Hakuna mtu mnafiki duniani kama Maalim Sefu shariff wa CUF. Wakati CUF kikiwa chama madhubuti cha upinzani wazanzibar wengi walipoteza maisha yao kwa kupigwa risasi, na wengine kukimbilia nje ya nchi kwenda kuomba ukimbizi. wazanzibar hao walikuwa wana muunga mkono Sefu ili wapate Zanzibar yao, lakini leo hii manafiki huyu kawageuka wanzanzibali wenzake kwa kudanganywa kupewa cheo kisichokuwemo ndani ya katiba. Kumbe muda wote wa mapambano alikuwa anafikiria tumbo lake zaidi na wala si Zanzibar. Ningewaomba wanzanzibali popote mlipo fanyeni kila liwezekanalo kumuondoa mnafiki huyu madarakani na mtafute mtu atakayefanya kazi kwa ajili ya Zanzibar na wazanzibali.

Ofisi ya CCM kwanini ikafanye kazi za CUF?. Huwezi kuwa na waume wawili huo ni undumila kuwili uliobobea.
 
makala hii imeenda shule hongera sana mleta maada. lakini nasema ukweli utabaki ukweli tu hata wakizuia CDM kufanya mikutano wananchi wanajua kuna nini kinaendelea ndani ya nchi kwa hiyo hofu hatuna ccm lazima ionje joto la jiwe 2015

Wasikae wakidhani kueneza chama ni kupitia mikutano ya hadhara tu, tutatumia njia zote zilizopo kuhakikisha chama kinaenea kila kona ya hii nchi! Chadema ni kisima cha mawazo mapya!
 
Si hawa hawa CUF wali singiziwa na CCM kua wameingiza contener la visu na CCM wakatumia hiyo nafasi kushindauchaguzi Lakini, leo nimaswahiba

Kama hawakusingiziwa CUF watueleze vile visu vilikua ni vya nini na walikua na malengogani
 
Kuizuia M4C ni sawa na kujidanganya kuwa unaweza kuzuia tsunami isilete uharibifu ni ndoto za mchana.
Mabadilko kupitia M4C ni lazima hata kama wataungana vyama vyote vilivyopo ndani ya Tanzania vikashindana
na Chadema kamwe hawatashinda maana Mungu yu upande wa CDM tayari kwa ukombozi wa Tanzania either
wanataka au hawataki ni hivyo.

Peeeeople's !
Hakuna nguvu ya kushinda nguvu ya umma
 
kweli system imefanikiwa kuwafanya wajinga waamini chadema ni chama cha upinzani wakati chadema = ccm remix.......chadema na ccm wanatamani cuf iwe haina saport kabisaa kama SAU au NRA, lakini ndo haiwezekani !!......baadhi yenu badala ya kuandika hoja mnaamua kutukana, na hii ndo inathibitisha kuwa hamna hoja za kuibeza CUF, ni rooho mbaya tu na chuki binafsi mlizonazo!!
 
Kwa hiyo na NCCR nao wakianzisha movement yao mtasema wametumwa na CCM au? We mtafiti rudi shule kwanza its green on blue tusubiri 2015 na umwambie mbowe yule mjane anasubiri rambirambi alizokusanya
 
kweli system imefanikiwa kuwafanya wajinga waamini chadema ni chama cha upinzani wakati chadema = ccm remix.......chadema na ccm wanatamani cuf iwe haina saport kabisaa kama SAU au NRA, lakini ndo haiwezekani !!......baadhi yenu badala ya kuandika hoja mnaamua kutukana, na hii ndo inathibitisha kuwa hamna hoja za kuibeza CUF, ni rooho mbaya tu na chuki binafsi mlizonazo!!
Serikali ya Zanzibar inaundwa na vyama gani vile? Maalim Sefu ni makamu wa kwanza wa raisi wa nchi gani vile?
 
Wasikae wakidhani kueneza chama ni kupitia mikutano ya hadhara tu, tutatumia njia zote zilizopo kuhakikisha chama kinaenea kila kona ya hii nchi! Chadema ni kisima cha mawazo mapya!

Kila mtu ajue kuwa CHADEMA ndiyo "Chama Tawala" kwani Vyama vyote vinavyojiita Wapinzani vimeacha kupambana kuiondoa CCM madarakani, vinahangaika kuiondoa Chadema. Mhuuu!!!! Wameishiwa hao. PEOPLE oooooooooooos. Viva M4V.
 
Back
Top Bottom