CCM kukata rufaa Ubunge Igunga...

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
ccm.gif

chama cha mapinduzi wakata rufaa kupinga hukumu ya kutengua ubunge wa dr Kafumu
hawajaridhishwa na hukumu ya jana.
je tutafika?
source michuzi
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kutafakari na kupitia hukumu ya kesi ya jimbo la Igunga dhidi ya Dr. Kafumu wameamua kukata rufaa. Source Issa Michuzi
MICHUZI
 
inashangaza kama jana dr kafumu alisema hana nia ya rufaa
leo wanatoa kauli nyingine.
 
Ni dhahiri hawana watu wa kusimama jukwaani kuomba kura ukiitishwa uchaguzi mpya. Watu wao wanaotegemewa ndio haohao walioharibu ushindi wa Kafumu. Wanachofanya ni kusogeza muda mbele kwani wanajua hata hiyo rufaa bado hawawezi kushinda.
 
Ni halali yao kisheria, maana hukumu ikisomwa inatoa uhuru wa refaa!!

Good luck CCM.
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kutafakari na kupitia hukumu ya kesi ya jimbo la Igunga dhidi ya Dr. Kafumu wameamua kukata rufaa. Source Issa Michuzi
MICHUZI

Wanasheria hawawezi achia hela ya wazi hata kama wanajua kuwa huwezi kushinda. Let them appela. kwa mwenendo wa kesi, sidhani kama kweli watatoka. Advocates kuleni hele ye bure hiyo!
 
Hello jamii forum club, many of you I'm quite sure are dilighted by the outcome of Igunga polls appeal. Justice has been served to the oppossition side. The ruling party must now know that they are not above the law and cannot bride voters by using resources from the state.
 
Hahahahahahahahaaaaaaaa magamba bwana anyway wanahela za kuchezea lakini kikubwa hapa ni wanaogopa kurudi kwenye uchaguzi kwani watagaragazwa mbaya
 
Hawana ubavu wa kushindana na CDM kwenye uchaguzi mdogo kwa sasa hasa wakikumbukia kipigo cha Arumeru mashariki. Mbinu ni kuhakikisha uchaguzi unacheleweshwa kuepuka aibu.
 
Najiuliza kwa nini kusiwe na sheria ya wagombea au wapiga debe wanaoisababishia nchi kuingia kwenye ghrama mpya ya uchaguzi mdogo kwa hela za walipa kodi?
Watu kama Makufuli, Rage, Mkama, Huyo sheikh wa msikiti walitakiwa wanyongwe!
 
pambaf miCCM yatakuwa yanaFanya DELAYING TECNIC kwan wanajua hawawezi kushinda na kiama chao 2015, siamini km ndo CCM niloifahamu ndo hii, masikini CCM ii yote ni matokeo ya ufisadi ata mnaogopa kurudi kumnadi tena kafumu. poleni
 
Habari nilizozipata muda si mrefu zinaeleza kuwa uongozi wa juu CCM umeamua kukata rufaa kesi ya uchaguzi Igunga.
 
Back
Top Bottom