CCM kukata rufaa Ubunge Igunga...

Wanaongeza idadi sherehe kwa CDM na vilio kwao! USHINDI wa Rufaa na baadaye USHINDI wa uhaguzi wa marudio Igunga.
 
Habari nilizozipata muda si mrefu zinaeleza kuwa uongozi wa juu CCM umeamua kukata rufaa kesi ya uchaguzi Igunga.

Hii nayo ni ajabu ya mwaka, kwani CCM ndiyo iliyoshtakiwa? Kwa nini wasiseme Kafumu kaamua kukata rufaa?. Labda wana sheria watanisaidi kwani CCM hakuwa mshatakiwa.
 
Ni dhahiri hawana watu wa kusimama jukwaani kuomba kura ukiitishwa uchaguzi mpya. Watu wao wanaotegemewa ndio haohao walioharibu ushindi wa Kafumu. Wanachofanya ni kusogeza muda mbele kwani wanajua hata hiyo rufaa bado hawawezi kushinda.

Na huo ndio ukweli. Hata wakichelewesha jimbo litaenda CDM na mwaka 2015 CDM itachukua dola kupitia sanduku la kura
 
Lakini tayari wamebomolewa sura yao vibaya sana, acha wajiliwaze

Kama wamekata rufaa watasaidia kupush nayo rufaa ya Lema itoke haraka maana haiwezekani iwahi kabla ya Lema halafu mambo itajulikana mbivu na mbichi, uchaguzi au arejeshewe ubunge wake Lema.
 
Hii nayo ni ajabu ya mwaka, kwani CCM ndiyo iliyoshtakiwa? Kwa nini wasiseme Kafumu kaamua kukata rufaa?. Labda wana sheria watanisaidi kwani CCM hakuwa mshatakiwa.

Soma vichwa vya hahabri vya magazeti ya leo.
Igunga1.JPG
Igunga2.JPG
Igunga3.JPG
Igunga4.JPG
Igunga5.JPG
 
walimtelekeza kafumu wakati wa kesi..jana baada ya kushindwa wanagutuka na kusema ilikuwaje!!!na leo wanaamua kukata rufaa....

hoja zilizokubaliwa na mahakama zote zina nguvu sana....wanachokataa ni nini?
 
Wakate rufaa wasikate, ushindi umedhihirika kuwa Igunga ilikuwa ya Chadema.
Hata kama itabaki bila mwakilishi hadi 2015
 
Jamani hata kuku wa kisasa ukimchinja huwa ana rukaruka itakuwa CCMabwepande waacheni wahakaike lakini mwaka 2015 tuna wang'oa....
 
Hivi hawa mafala bado hawaamini kwamba Kauli ya Magufuli kujenga daraja endapo ccm wangechaguliwa siyo kosa?
Bado hawaamini kuwa Rage aliropoka?

Kama vichwa vyao si vya kubeba nywele tu wanatakiwa waangushe lawama zao kwa Magufuli, Mkapa, Mukama, Rage, Nchemba, Lusinde na Wassira!
 
Cccm kwenye appeal atakuwepo mnazi wa ccm atayeandaliwa na ?wigulu napi wasire lusinde ili washiinde. Ccm bingwa
 
walimtelekeza kafumu wakati wa kesi..jana baada ya kushindwa wanagutuka na kusema ilikuwaje!!!na leo wanaamua kukata rufaa....

hoja zilizokubaliwa na mahakama zote zina nguvu sana....wanachokataa ni nini?
Na Kafumu mwenyewe jana alipoulizwa kama ana mpango wa kukata rufaa alisema hana mpango huo. Alisema anakusudia kwenda kwenye sekta yake ya madini. Nahisi kama ana mgodi au ubia kwenye mgodi fulani huko mkoani Singida.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom