kakomya
Member
- Jul 5, 2011
- 18
- 11
Aha! Mi nilidhani kuna jipya katika hili kumbe ni ile muvi ya ubakaji wa demokrasia inayoendelea? Ama kweli CCM maji ya shingo sasa. Naona wapinzani na haswa CDM wamewashika pabaya kila mahali.Jamani mi nipo huku tukuyu labda hamjui kilicho endelea , baada tu ya mwenyekiti kufariki kwa kupigwa lisasi. polisi wa limkamata mpinzani wa aliye kuwa diwani yaani mwenyekiti wakimuhusisha na mauwaji yale. Lakini baada ya mda akajitokeza mtu aliye kili kuwa yeye ndie aliye ua {confension}! bado waliendelea kumshikilia yule mpinzani ,{kwani angeweza kushinda uchaguzi mdogo} , nakumfanya ashindwe kugombea ,Mungu si Athumani ndani ya. C.M.D walio chukuwa fOrm kwaajili ya kura za maoni wamefika saba na CCM hawajapata mgombea mpaka hivi sasa hali iliyo mlazimu mkulugenzi wa Alimashauri kusogeza mbele tarehe ya uchukuaji form. Kijanja na huenda uchaguzi wa diwani ukahailishwa .... Chaajabu pia nikwamba wamefanya uchaguzi wa mwenyekiti wakati kuna kata mbili zinazo talajiwa kufanya uchaguzi ambazo labda ndo zinge toa mwenyekiti bora.