CCM kidedea Rungwe

FIDIVIN

Senior Member
Aug 4, 2010
187
41
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kimeshinda kwa kishindo nafasi ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa kuwabwaga wapinzani katika uchaguzi huo mdogo.

Uchaguzi huo ulifanyika ili kuziba pengo liloachwa wazi na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo aliyeuwawa mwanzoni mwa mwaka huu kwa kupigwa risasi.

Habari kutoka Rungwe zinaripoti kuwa katika uchaguzi huo wajumbe wamemchagua kwa kura 40 aliyekuwa makamu mwenyekitiwa halmashauri hiyo, Meckson Mwakipunga (pichani) huku mgombea wa NCCR Mageuzi, Anyimike Mwakasikilali akiambulia kura 3 tu.

Mod please futa hii habari inatakiwa iandikwe na magazeti ya udaku.

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kimeshinda kwa kishindo nafasi ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa kuwabwaga wapinzani katika uchaguzi huo mdogo.

Uchaguzi huo ulifanyika ili kuziba pengo liloachwa wazi na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo aliyeuwawa mwanzoni mwa mwaka huu kwa kupigwa risasi.

Habari kutoka Rungwe zinaripoti kuwa katika uchaguzi huo wajumbe wamemchagua kwa kura 40 aliyekuwa makamu mwenyekitiwa halmashauri hiyo, Meckson Mwakipunga (pichani) huku mgombea wa NCCR Mageuzi, Anyimike Mwakasikilali akiambulia kura 3 tu.

bila shaka unafanyakazi gazeti la uhuru. Kama una ubongo unaojitosheleza kufikiri usingeleta huu udaku. Habari kama hizi huwa zinapostiwa na watu wenye akili zilizochanganyika na mavi.

CCM ni mwendo wa ushindi tu!
Kuanzia ngazi ya familia....mpaka upresidaa

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kimeshinda kwa kishindo nafasi ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa kuwabwaga wapinzani katika uchaguzi huo mdogo.

Uchaguzi huo ulifanyika ili kuziba pengo liloachwa wazi na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo aliyeuwawa mwanzoni mwa mwaka huu kwa kupigwa risasi.

Habari kutoka Rungwe zinaripoti kuwa katika uchaguzi huo wajumbe wamemchagua kwa kura 40 aliyekuwa makamu mwenyekitiwa halmashauri hiyo, Meckson Mwakipunga (pichani) huku mgombea wa NCCR Mageuzi, Anyimike Mwakasikilali akiambulia kura 3 tu.

Kweli CCM maji ya shingo yamewafika, hata ushindi wa mwenyekiti wa halmashauri yenye madiwani wao wengi wanashangilia kwa kiwangi hiki? hii inaonyesha hawa jamaa hawakuchaguliwa na wananchi. walichaguliwa na kutangazwa na tume ya taifa NEC aka makada wastaafu wa CCM.

Siku zenu zinahesabika.

mimi tukuyu ambapo ni makao makuu ya rungwe napajua na watuwake nawajua, kule watu wanapenda chama cha magamba kama timu ya mpira inayoshiriki ligi za ulaya. hivyo sishangai

unajua ukikua na kuishi bila kutahiriwa unakuwa na akili za hovyo sana...

Kwani hauwezi kushindana kwa hoja bila matusi? kama CDM huko haikubalili si ukubali tu kushindwa? matusi yanini? na kwa hiyo unataka kutuambia kuwa huko katika familia yenu wote mmetahiriwa?

Kampeni Luhanjo aitangaze habari hii maana ni bingwa wa kutangaza habari za kijinga kama hizi

pumguzeni jazba, basi tusifike mahali pa kuanza kutoa lugha za matusi humu, kama mtu huna la kuandika ni bora usome tuu ndipo utajifunza jinsi ya kujibu hoja. watu wa kyela na tukuyu wanahitaji elimu ili wajitambue.

Jamani mi nipo huku tukuyu labda hamjui kilicho endelea , baada tu ya mwenyekiti kufariki kwa kupigwa lisasi. polisi wa limkamata mpinzani wa aliye kuwa diwani yaani mwenyekiti wakimuhusisha na mauwaji yale. Lakini baada ya mda akajitokeza mtu aliye kili kuwa yeye ndie aliye ua {confension}! bado waliendelea kumshikilia yule mpinzani ,{kwani angeweza kushinda uchaguzi mdogo} , nakumfanya ashindwe kugombea ,Mungu si Athumani ndani ya. C.M.D walio chukuwa fOrm kwaajili ya kura za maoni wamefika saba na CCM hawajapata mgombea mpaka hivi sasa hali iliyo mlazimu mkulugenzi wa Alimashauri kusogeza mbele tarehe ya uchukuaji form. Kijanja na huenda uchaguzi wa diwani ukahailishwa .... Chaajabu pia nikwamba wamefanya uchaguzi wa mwenyekiti wakati kuna kata mbili zinazo talajiwa kufanya uchaguzi ambazo labda ndo zinge toa mwenyekiti bora.

Back
Top Bottom