CCM kidedea Rungwe

Jamani mi nipo huku tukuyu labda hamjui kilicho endelea , baada tu ya mwenyekiti kufariki kwa kupigwa lisasi. polisi wa limkamata mpinzani wa aliye kuwa diwani yaani mwenyekiti wakimuhusisha na mauwaji yale. Lakini baada ya mda akajitokeza mtu aliye kili kuwa yeye ndie aliye ua {confension}! bado waliendelea kumshikilia yule mpinzani ,{kwani angeweza kushinda uchaguzi mdogo} , nakumfanya ashindwe kugombea ,Mungu si Athumani ndani ya. C.M.D walio chukuwa fOrm kwaajili ya kura za maoni wamefika saba na CCM hawajapata mgombea mpaka hivi sasa hali iliyo mlazimu mkulugenzi wa Alimashauri kusogeza mbele tarehe ya uchukuaji form. Kijanja na huenda uchaguzi wa diwani ukahailishwa .... Chaajabu pia nikwamba wamefanya uchaguzi wa mwenyekiti wakati kuna kata mbili zinazo talajiwa kufanya uchaguzi ambazo labda ndo zinge toa mwenyekiti bora.
Aha! Mi nilidhani kuna jipya katika hili kumbe ni ile muvi ya ubakaji wa demokrasia inayoendelea? Ama kweli CCM maji ya shingo sasa. Naona wapinzani na haswa CDM wamewashika pabaya kila mahali.

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kimeshinda kwa kishindo nafasi ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa kuwabwaga wapinzani katika uchaguzi huo mdogo.

Uchaguzi huo ulifanyika ili kuziba pengo liloachwa wazi na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo aliyeuwawa mwanzoni mwa mwaka huu kwa kupigwa risasi.

Habari kutoka Rungwe zinaripoti kuwa katika uchaguzi huo wajumbe wamemchagua kwa kura 40 aliyekuwa makamu mwenyekitiwa halmashauri hiyo, Meckson Mwakipunga (pichani) huku mgombea wa NCCR Mageuzi, Anyimike Mwakasikilali akiambulia kura 3 tu.
Asante wana CCM Rungwe.
Mme mwinua tena Mh John Afwilile Mwankenja

Jamani mi nipo huku tukuyu labda hamjui kilicho endelea , baada tu ya mwenyekiti kufariki kwa kupigwa lisasi. polisi wa limkamata mpinzani wa aliye kuwa diwani yaani mwenyekiti wakimuhusisha na mauwaji yale. Lakini baada ya mda akajitokeza mtu aliye kili kuwa yeye ndie aliye ua {confension}! bado waliendelea kumshikilia yule mpinzani ,{kwani angeweza kushinda uchaguzi mdogo} , nakumfanya ashindwe kugombea ,Mungu si Athumani ndani ya. C.M.D walio chukuwa fOrm kwaajili ya kura za maoni wamefika saba na CCM hawajapata mgombea mpaka hivi sasa hali iliyo mlazimu mkulugenzi wa Alimashauri kusogeza mbele tarehe ya uchukuaji form. Kijanja na huenda uchaguzi wa diwani ukahailishwa .... Chaajabu pia nikwamba wamefanya uchaguzi wa mwenyekiti wakati kuna kata mbili zinazo talajiwa kufanya uchaguzi ambazo labda ndo zinge toa mwenyekiti bora.
Ndugu yangu usuwadanganye watu kwa vile hawako Tukuyu.
Soo lilitokea kila mtu analifahamu, kuna watu waliochanga fedha katika mauaji hayo(wa CCM na hata wapinzani), hilo litaelezwa mahakamani.
Kama mtu wako alihusika basi asubiri kusafishwa na mahakama.
Cha kusikitisha ni kwamba waliotenda tendo hilo walitegemea wao wangefaidika na mauaji hayo kitu ambacho ni cha kipuuzi sana.
Mazishi ya J Mwankenja mimi nilikuwepo vile vile na niliona wananchi wa rika zote walivyo mlilia.Wapinzani wengi walishaingia mitini,hata muwakilishi wa CDM alivyo babaika(kwa kujua au kutojua) watu walizomea.

Ndugu yangu nahisi Tukuyu na kiwira unaisoma magazetini. Nani asiye jua kuwa
Chanzo kilikuwa mauaji ya Albino wa Iroro na ndio iliyo sababisha mauaji ya mwankenja baada ya kuto kumlipa muuaji aliye kili na kueleza mahakamini ukweli huo .kama kweli CCM inakubalika kiwira mbona hawajapata mgombea mpaka saizi.? Pili mbona uchaguzi wa mwenyekiti umefnyika kabla ya chaguzi zote mbili . Any way rudi shule ili uweze kupambanua hoja.

Hii ya Marehemu kukodi watu wa kuua Albino imekaaa vizuri kwa kamapeni za wapinzani, ndo maana watu wanaogopa kugombea kupituia magamba kwa sababu ya hii kashifa. Atakayejitokeza atazomewa sana!

Teh teh teh teh teh teh teeh! Unashangaa nini! Ndivyo ilivyo ukiwa unapigana na adui yako halafu anakaribia kufa akikutemea mate tu huwa anafarijika sana na kuhisi ni ushindi mkubwa kwake, ndio maana mi sishangai hii thread kutupiwa humu kwa sababu hata ukimwambia mwanafamilia ataishia kukushangaa tu kama si kukutukana

pumguzeni jazba, basi tusifike mahali pa kuanza kutoa lugha za matusi humu, kama mtu huna la kuandika ni bora usome tuu ndipo utajifunza jinsi ya kujibu hoja. watu wa kyela na tukuyu wanahitaji elimu ili wajitambue.
WanaKyela umetuonea, tunajitambua vya kutosha. Muulize Mwakyembe atakupa jibu, magamba wanaelekea mwisho wao huku.

....Hovyoooooooooooooooooo!!

Sio hovyo, i think this is the challenge to our beloved CHADEMA to focus on establishment party network to allover the country especially in rural areas. This wiss make the party to have strong foundation and be in a great chance to win the coming local gvt election starting with in 2014

Siyo kusubiri chama kuanzisha ofisi huku vijijini wanamapinduzi,kama sisi wenyewe tunauwezo wa kuorganise watu na kuanzisha shina na ofisi za CHADEMA popote pale pia nakutoa elimu kwa watu ingawa vijana wengi mnapenda kuishi mijini.Kumbuka ata wenzetu tunaowatolea mifano walianza kutoa elimu kwa mapeasant kama CHINA-MAO,RUSSIA-LENIN na CUBA.Mapeasant wengi bado hawajajitambua vizuri kuwa hii nchi ni yakwao na si watawala uchwara tu.

Ndugu yangu nahisi Tukuyu na kiwira unaisoma magazetini. Nani asiye jua kuwa Chanzo kilikuwa mauaji ya Albino wa Iroro na ndio iliyo sababisha mauaji ya mwankenja baada ya kuto kumlipa muuaji aliye kili na kueleza mahakamini ukweli huo .kama kweli CCM inakubalika kiwira mbona hawajapata mgombea mpaka saizi.? Pili mbona uchaguzi wa mwenyekiti umefnyika kabla ya chaguzi zote mbili . Any way rudi shule ili uweze kupambanua hoja.
Ndugu yangu mbona una tema cheche sambamba na wauaji wa John Mwankenja. Hicho unachpongelea ndio alochoongea muuaji Mwakalinga kule mahakamani,kitu ambacho kila mwana Rungwe anajua kuwa ni tapatapa za kujiokoa na kitanzi. Utakuja hukumiwa kwa ushahidi wa uongo Lakini wacha Mungu aitwe Mungu, ushuda wenu wa uongo utapatilizwa kwa adhabu kwa hukumu hata vozazi vyenu

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kimeshinda kwa kishindo nafasi ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa kuwabwaga wapinzani katika uchaguzi huo mdogo.

Uchaguzi huo ulifanyika ili kuziba pengo liloachwa wazi na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo aliyeuwawa mwanzoni mwa mwaka huu kwa kupigwa risasi.

Habari kutoka Rungwe zinaripoti kuwa katika uchaguzi huo wajumbe wamemchagua kwa kura 40 aliyekuwa makamu mwenyekitiwa halmashauri hiyo, Meckson Mwakipunga (pichani) huku mgombea wa NCCR Mageuzi, Anyimike Mwakasikilali akiambulia kura 3 tu.

Nini ratio ya madiwani wa vyama hivyo (CCM, NCCR n.k)? Tujuze tafadhari

WanaKyela umetuonea, tunajitambua vya kutosha. Muulize Mwakyembe atakupa jibu, magamba wanaelekea mwisho wao huku.

Kyela na Tukuyu, ndo wamenza kuelimika. Nilikuwa huko jana, katikabaadhi ya maeneo vijijini, bendera za vyama kama CDM, nimeziona ila wananchi wa huko wanapaswa kuongeza bidii kufungua matawi bila kuongojea makao makuu.

Ndugu yangu nahisi Tukuyu na kiwira unaisoma magazetini. Nani asiye jua kuwa Chanzo kilikuwa mauaji ya Albino wa Iroro na ndio iliyo sababisha mauaji ya mwankenja baada ya kuto kumlipa muuaji aliye kili na kueleza mahakamini ukweli huo .kama kweli CCM inakubalika kiwira mbona hawajapata mgombea mpaka saizi.? Pili mbona uchaguzi wa mwenyekiti umefnyika kabla ya chaguzi zote mbili . Any way rudi shule ili uweze kupambanua hoja.
Bwana mudogo una kila dalili ya mtu anayefikiri kwa makalio.
Haingii akilini kwa wewe mwanachama wa CDM kushabikia mauaji ya kinyama kwa sababu yoyote ile.
Kama unayaamini maneno ya muuaji aliyeua kama ndio "ukweli" basi umefikia ukomo wa kufikiri ,na makalio yamechukua nafasi yake.
Kwa suala la darasa langu we ulie tu maana inaelekea hauko mbali sana na kiwango cha praimari. Kama CCM wameshinda kwa kura 40, NCCR 3 ,CDM wala haipo kwenye picha,wewe unashindwa kuelewa mantiki ya tukio hilo, basi ni pole tu.
Wewe endelea kushabikia majambazi na wauaji na kuendelea kuota kushika uongozi Wilayani Rungwe kitu ambacho kwenu kitabaki kuwa ndoto.

ccm ni mataahira wa kila ki2,kwan hata tabora -igunga wamediriki hata kufanya kampeni msibani,c ufala huo jaman?

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom