Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 533
Nimesoma hoja za viongozi kadhaa wa CCM kujibu upinzani-hasa CDM kuwa zinalenga kuchochea uhalifu au kusababisha mpasuko wa taifa ili wao waendelee kutawala. Mf. Beno Malisa leo huko Dodoma kuchochea vijana wafanye vurugu, angekuwa kiongozi wa upinzzani saa hizi angeshahojiwa; JK anaposema sasa Arusha kuna amani kuliko miaka 2 ilopita alitaka wasikilizaji wake waelewe nini? Akijibiwa atakuwa na wa kumlaumu?
Kuna mifano mingi ya viongozi wa CCM wamenukuliwa wakitamka mambo yawezayo kuchochea uasi kwa manufaa ya lakini wakihatarisha usalama wa taifa.
Nawasilisha
Kuna mifano mingi ya viongozi wa CCM wamenukuliwa wakitamka mambo yawezayo kuchochea uasi kwa manufaa ya lakini wakihatarisha usalama wa taifa.
Nawasilisha