CCM ITUMIE BUSARA ...VINGINEVYO! Kwishaaa!

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,270
533
Nimesoma hoja za viongozi kadhaa wa CCM kujibu upinzani-hasa CDM kuwa zinalenga kuchochea uhalifu au kusababisha mpasuko wa taifa ili wao waendelee kutawala. Mf. Beno Malisa leo huko Dodoma kuchochea vijana wafanye vurugu, angekuwa kiongozi wa upinzzani saa hizi angeshahojiwa; JK anaposema sasa Arusha kuna amani kuliko miaka 2 ilopita alitaka wasikilizaji wake waelewe nini? Akijibiwa atakuwa na wa kumlaumu?

Kuna mifano mingi ya viongozi wa CCM wamenukuliwa wakitamka mambo yawezayo kuchochea uasi kwa manufaa ya lakini wakihatarisha usalama wa taifa.
Nawasilisha
 
Comrade hata mgonjwa anapofikia hatua za mwisho kabisa za kuendelea kuwa hai,hutapatapa sana na hiki ndicho kilicho wakuta ccm kwa wakati huu
 
"The hand writing on the wall" (or "the handwriting on the wall" or "the writing is on the wall" or "Mene Mene"), an idiom, is a portent of doom or misfortune. It originates from the Biblical book of Daniel chapter 5 in which the fingers of a supernatural hand write a mysterious message in the presence ofBelshazzar, king of Babylon, who is meanwhile drinking at a major feast. It is revealed by Daniel that the writing foretells the demise of the Babylonian Empire and the story concludes with the Persians capturing Babylon. The phrase "the writing is on the wall" is now a popular idiom for "something bad is about to happen.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom