Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam John Guninita amemshambulia vikali waziri wa ushirikiano Afrika Mashariki Samwel Sitta kwamba anataka kuua chama.
Ama kweli ukitaka kujua siri ya mtu mkasirishe.Tungejuaje kama walimnyima uspika na sio demokrasia ilifuatwa.haya bwana kumbuken vita ya panz furaha kwa kunguru.Kumbe alinyimwa uspika?! Nani akapewa?! Kwanini alinyimwa?Mi nilidhani demokrasia imechukua mkondo wake!! Kumbe kanyimwa!
ccm cham cha mazuzu***** na watu wenye akili za kawaida na mbaya kabisa, Sitta kilema wa ufahamu, na hao wengine ni watu wasio aminika kabisa, hiko ni chama kinachoangamia ....! kazi yao malumbano,. kelele na rushwa kama si Ufisadi