CCM Dar yampiga marufuku Samwel Sitta!

Magamba kwishney kazi, yani ukisema mabaya yao hadharani wewe mbaya eti uongelee chumbani! Makubwa haya FaizaFoxy yakweli haya?
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam John Guninita amemshambulia vikali waziri wa ushirikiano Afrika Mashariki Samwel Sitta kwamba anataka kuua chama.


Kife mara ngapi? CCM ilikufa na mwalimu hii ya sasa ni msukule tu.
 
Propaganda za magamba hizi....sitta alikuwa sahihi kwani kuna chochote cha kuzusha alichoongea? Mbona aliongea ukweli. Au chama cha magamba ukweli kwao sumu?
 
Huyu John Guninita, siyo huyo aliyewahi kukihama chama cha magamba ??????????? akajiunga na CDM

leo amekuwa na uchungu sana na hicho chama !!
 
Sasa mbona kwenye mkutano wa Mbeya Sita alikuwa na Nape? Nape naye hakupata baraka za Mukama na JK au ni Sita peke yake? Au hawakujua atakayoyaongea Sita? Kusema anaweza kufanya mikutano mikoani ina maana gani hasa? Why not Dar?
 
Kumbe alinyimwa uspika?! Nani akapewa?! Kwanini alinyimwa?Mi nilidhani demokrasia imechukua mkondo wake!! Kumbe kanyimwa!
Ama kweli ukitaka kujua siri ya mtu mkasirishe.Tungejuaje kama walimnyima uspika na sio demokrasia ilifuatwa.haya bwana kumbuken vita ya panz furaha kwa kunguru.
 
ccm cham cha mazuzu***** na watu wenye akili za kawaida na mbaya kabisa, Sitta kilema wa ufahamu, na hao wengine ni watu wasio aminika kabisa, hiko ni chama kinachoangamia ....! kazi yao malumbano,. kelele na rushwa kama si Ufisadi
283509_141022539312971_100002156774748_272727_7021239_n.jpg


Alipwe sleeping allowance yake haraka sana :)...Wengi wao wamechoka ile mbaya lakini bado wamo tu! hawataki kuachia wenye nguvu wachukue nafasi zao! Duh! kuna haja ya kuanzisha 'sredi' ya mapicha ya Wabunge wote wanaochapa usingizi Bungeni wakiongozwa na yule Wassira.

Kweli bungeni raha...unachapa usingizi mtindo mmoja huku hujuwi nini kinachoendelea katika mahojiano ndani ya Bunge kisha unasaini attendance sheet kuonyesha "uwepo" wako Bungeni tayari kukinga mkono kwa ajili ya posho zako mbali mbali ikiwemo ya kuchapa usingizi.
 
Hicho chama cha CCM kibomoke mara ngapi tena? mbona kilsha bomoka siku nyingi?
 
Mwenyekiti bado hajui awe upande gan? Kwa akina Lowasa au akina Sita,ila ki-aina anaegemea kwa Kina Sita,kule si ndio kuna mawaziri na katibu?.Menyekiti Kiiiimyaaaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom