Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,941
- 4,128
Ndugu Bashe ni waziri aliyetokana na ubunge, Katiba yetu inampa Mh. Rais kuchagua mawaziri wanaotokana na chama chake
Kwa sababu hiyo, Ndugu Bashe asisahau kwamba, yeye ni mbunge aliyetokana na chama cha CCM, akumbuke kwamba, kama asingekuwa mbunge aliyetokana na CCM, asingekuwa Waziri
Makonda anapokuwa kwenye vikao vya chama, atakaa viti vya viongozi tofauti na Bashe ambaye lazima atakaa viti vya wajumbe na sio viongozi,
Kwa maana nyingine, linapokuja suala la kichama, Bashe hawezi kulingana na Mwenezi
Makonda atakuwa amekosea ikiwa Ndugu Bashe atamhoji kama Waziri, ki protoko haikubaliki, Waziri bashe atakuwa ni mkuu kuliko Makonda kwa eneo la Kiserikali na si vinginevyo
Mwacheni Bashe apige kelele lakini, Mwenezi akihitaji jibu lake, atalisema na bila ya shaka yoyote!