CBE kuandamana kupinga sheria ya mavazi

Haya maandamano yanapitia wapi?
Jengo la Bunge Dodoma, na mitaa yote posta. Hivi mnadhani wanenu watalipaje ada kwani mavazi yao ni cheap, gauni fupi means kitambaa kidogo, jinsi iliyochakaa maana yake bei rahisi. Waacheni wasave pesa ili walipe ada. Wivu tu kaona yeye hapendezi au hana hizo nguo.
 
Kwanza ninapenda kuupongeza Uongozi wa Chuo kwa kuliona hili,Kwenye vyuo vya Elimu ni sehemu ya kumkomboa mtu kimawazo,kimaadili,kivitendo,nidhamu na kiteknolojia,

Nina washauri wanafunzi wa CBE wasigome maana kuwa na sera ya mavazi ni jambo jema,Chuoni ni sehemu ya kuheshimika.Sehemu ya kutoa Taaluma na sivinginevyo,kwa hili Uongozi wa CBE,hongera sana,kazeni buti,matokeo yake mtayaona mbeleni,vijana watafaulu zaidi,na vijana watapona na hili janga la UKIMWI.

Nina viasa Vyuo vingine kama UDSM,OUT,MZUMBE,SUA,IFM,DIT,UDOM,kufuata nyayo za CBE za kuwa na DRESS CODE,na hili lisiwe ni ombi ambaye hataki kusoma aondoke,tunataka kujenga NCHI yenye maadili,hili pia liende hata mitaani watu wavae mavazi ya heshima kama wakati wa enzi Mwalimu,Mambo ya kutembea uchi tuwaachie wazungu,

Vijana wakigoma fanya fujo Uone(FFU) ndio KIBOKO yao.

Ninapenda kuungana na uongozi wa chuo cha CBE,kusema Kate K,Kimini,na kuonyesha vitovu sasa MWISHO,

KUWA MSOMI NI PAMOJA NA KUWA NA MAADILI MEMA KWENYE JAMII.
 
hawa makaramamba warambwe viboko 2,yaan hicho ndo cha kuandamania?kama wasomi walipaswa kuandamana kupinga serikali kuua watu wasio na hatia mahospitalini kipindi madaktari wanadai haki zao,au kupinga kukatika katika kwa umeme labda kunawaathiri masomo yao,yaani wanaandamana,ili wanaume watembee nusu makalio nje,(milegezo)na wadada nusu maziwa na matumbo,viuno ,mapaja nje,kweli hivi vyuo vinakuja na mambo mengi heeeee?ndo usomi huu?
 
Hawa ndiyo wanafunzi wa high learning tulionao - kweli tutatoka?
Hii inadhihirisha wapo pale kwa malengo tofauti na sio 'learning'...wanaacha kuandamana kwa maswala muhimu ya masomo wao wanataka kuandamana eti sheria imetungwa namna wanapaswa kuheshimu miili yao. Wengi wa hao watakuwa ni wale wapo kupoteza muda na si kusoma.
 
Maandamano - maandamano - maaandamano!

Ni sera ya chama fulani.

Sasa kasumba hii imeingilia watoto wetu, ni kuandamana kwa kwenda mbele hata kwa masuala ya kipuuzi.

Wamesoma lakini hawajaelimika. Wanahitaji kuombewa wazinduke - wanahitaji ukombozi wa fikra zao.

Sera uchwara za maandamano zitaangamiza maadili ya kizazi hiki.
 
Mambo yote yanayozungumzwa hapa yanalenga kuwadhibiti akina dada. Mimi sijaona mavazi ya ajabu Tanzania. Ila kuna watu wangependa akina dada wavae wanavyotaka wao. Sidhani kuwa hili ni swala muhimu sana katika taifa letu. Taifa letu limegubikwa na matatizo mengi sana yanayotaka ufumbuzi wa haraka siyo nani kavaa nini. Kipimo cha vazi zuri ni kipi?
 
... Watuambie tu watapitia wapi ili tuwaandalie ulinzi shirikishi. Ila wewe binamu yangu unayesoma CBE usije, staki lawama home.
 
Mmomonyoko wa Maadili, nadhani tunatakiwa kukanzisha adhabu ya VIBOKO vyuoni!
 
Mambo yote yanayozungumzwa hapa yanalenga kuwadhibiti akina dada. Mimi sijaona mavazi ya ajabu Tanzania. Ila kuna watu wangependa akina dada wavae wanavyotaka wao. Sidhani kuwa hili ni swala muhimu sana katika taifa letu. Taifa letu limegubikwa na matatizo mengi sana yanayotaka ufumbuzi wa haraka siyo nani kavaa nini. Kipimo cha vazi zuri ni kipi?

Discipline siyo suala la muhimu?...taipiko bongofleva!
 
Maandamano - maandamano - maaandamano!

Ni sera ya chama fulani.

Sasa kasumba hii imeingilia watoto wetu, ni kuandamana kwa kwenda mbele hata kwa masuala ya kipuuzi.

Wamesoma lakini hawajaelimika. Wanahitaji kuombewa wazinduke - wanahitaji ukombozi wa fikra zao.

Sera uchwara za maandamano zitaangamiza maadili ya kizazi hiki.

You lost credibility. There is no politics here. Take a hike!
 
Naona tangu wakatazwe CBE imekua ishu lakini hili suala lilianzia SAUT tangu mwaka jana mwezi wa tano hivi niliisikia hii habari. Wao wame-cope vizuri, wanavaa na 'kupendeza' bila kuchefua kama wavaa ovyo na nusu uchi. Sioni haja ya maandamano hapo maana cha msingi mnakumbushwa KUJIHESHIMU na kuwa na STAHA.

Ukiwa nje ya chuo unaweza kuvaa vyovyote. Ila mkiwa chuo hala hala jamani. Vinginevyo, tunasubiri muandamane na mtatukuta mwisho wa barabara na bakora. Ahsante!
 
Kila vazi ni bora, swali ni, je linavaliwa mahali na wakati sahihi? Je mtu anaweza kuvaa suti akiwa disko, kuvaa shela ofisini.... Ukiona mtu anapingana na kanuni zinazoongoza jamii, ujue huyo ni KICHAA. Nasikitika sana, tena sana kwa kuwa wasomi wanaotegemewa kutatua matatizo ya nchi ni VICHAA. Huwezi kuwa na akili timamu ukapingana na maadili. Nasikitika tena kwa kuwa, wasomi wanadai haki ya KUTEMBEA UCHI badala ya kupigania mazingira bora ya kusomea.
NINACHOONA: elimu ya juu imekuwa sehemu ya wanamitindo kujionyesha. Hii imesababishwa na KUDEKEZWA kunakofanywa na wazazi na wakuu wa vyuo. HONGERA SAUT, KAMA MTU HAJUI KUVAA, ANAPASWA KULAZIMISHWA....
 
Kukomalia mavazi ni ujinga tu, uongozi ulipaswa kukomaa na shule. Kama umakini ukiongezeka katika kufundisha na kuassess wanafunzi (i.e kutunga,kusimamia na kumark mitihani na continuous assessment), kuthibiti uvujaji wa mitihani, ufaulu kwa rushwa ikiwemo rushwa ya ngono na kufuta appeal zisizokuwa na kichwa wala miguu kila matokeo yanapotoka, ninahakika focus ya wanafunzi itabadilika mno. Hawatapata muda wa kuvaa wavaavyo sasa bali watavaa '"academic attire". Nenda SUA au Muhimbili uone kama kuna upuuzi huo na wala hakuna sheria ya mavazi.
 
Tujulishe njia watakayopita mkuu tuwasubili na maaokora hawa mbwa kabisa!!..... ndio watajuwa kwamba tunahitaji maadili kwa vijana wetu.

Kaka MATOLA nakuunga mkono asilimia mkia mbili kama wanaandamana naomba kamanda Kova afumbe macho awaite wale vijana wa ukonga wakafanye mazoezi ya kuwafundisha adabu watoto waliolaaniwa ambao kukaa uchi au nusu mbele ya wazazi wao wanaona ni halali mbwa na malaya wakubwa hao. Kama ni kuandamana waandamane pia kuhalalisha misaada ya cameroon na baada ya hapo nadhani wataungana na kundi la mbwa kama wao kuhalalisha ujinga wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom