BWANA Ametutoa Mbali Saaana

Nasikia huyu jamaa enzi zake alikua pia anapeleka ile Rizimu ya KAKI!
attachment.php
Hadi sasa huenda hajaacha! Who knows?
 




haha! mwaJ mi nimefunga bana wanirudisha tena huku .. lakini we ni mstaarabu sana! you are on my white list ...

tumblr_m8oya5et3L1qa29c9o1_500.jpg


Ha ha hahaaaa! Kula tano njiwa! Asante kwa hilo bango nalikopi litanisaidia mahali flani.
 
Last edited by a moderator:
Ukitafakari utagundua kuwa hakuna ajua Mungu amempangia nini. Binadamu kazi yetu ni kupanga na mwisho wa siku Mungu ndiye huamua !
 
Ujumbe ni kuwa tunapaswa kufanya kazi kwa bidii huku tukitegemea na kutarajia na kutazamia na kuomba kudra zake !
 
Kumbe ndio maana safari na mipicha kila uchao !

Nyie kina MANI kwanini mmeenda kuufufua huu uzi? Shauri yenu mie simo! Ila naskia mkutano wa juzi aligawa saa zenye picha yake. Shiiiiiiiiiiiiiiiii! Mie simo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom