BWANA Ametutoa Mbali Saaana

na pia tumetoka mbali kama nchi

FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI: JE WATANGANYIKA HAMUITAKI NCHI YENU...? JE MUNAIJUWA SIKU YA UHURU WA NCHI YENU YA TANGANYIKA...?

View attachment 73495
bendera ya Tanganyika

Uhuru 1961.jpg
 
Acha hasira !
Soma kichwa cha mada.
Halafu hapa sio jukwaa la uchumi.
Mada ni nzuri na inatupa taswira na maana kubwa sana kuhusu maisha in general !


Siyo hasira ila wakati mwingine unakuta watu wanaandika tu ujinga ili wapewe support. Hii siyo forum ya kuoneana huruma, ukisema upuuzi na mambo ya kuhisi utaumbuliwa.
 
Hebu tuwekeni na picha za watu wengine jamani, It seems ni kumbukumbu nzuri sana na jinsi ya KUMSHUKURU MUNGU
Mungu huwa anatutoa mbali saana!
Picha zinaongea kuliko maneno

View attachment 60740
Barack Obama akiwa na baba yake enzi hizo

View attachment 60741
Barack Obama akiwa kwa nduguze Kogelo Kenya

View attachment 60742
akiwa na bibi yake

View attachment 60743
Hapa sijui alikuwa anaenda mashine kusaga !

View attachment 73493
Kuhitimu chuo kikuu


View attachment 71790
View attachment 73520
Na hapa ndipo Mungu alipomfikisha kwa sasa !




View attachment 67379
na hawa ni kina Mpoki na Joti.


Mr 2.View attachment 71791
 
Nimejaribu kupata pia picha za Celebrities wa kwetu, lakini inaonekana hatuko vizuri kutunza kumbukumbu
 
Back
Top Bottom