Duh nimekubali,hakuna kukata tamaa,hata hawa magamba kuna siku watachomoka tu na watatuachia ulaji!View attachment 61160Joseph Kabila (kulia) akiwa na rafikiye miaka hiyo.
Hapo vipi?
Umekubali kuwa Mungu anatutoa mbali sana !
Wonderful !
Wenzetu ni watunzaji wazuri sana wa kumbukumbu.