Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

shibuda kashinda maswa kwa nguvu zake chadema kama chama imepelekwa na shibuda hata akitoka leo cdm aende TLP, NCCR, CUF au arudi CCM, atashinda tu. ndio maana ana jeuri.
Ajiudhuru basi arudi huko Maswa (maana Maswa hawana redio TV WALA MAGAZETI) ili wamchague tena, CDM tumeisha choka nae.Alionekana Arusha kipindi cha madiwani akimwaga upupu aliwadanganya wenzake sasa yamewatokea puani!! Anatukana mamba kabla ya kuvuka mto, shauri yake!!!!!!!!!!!

kuhusu wabunge kuongezewa posho (ambayo ndio chanzo cha kupishana na cdm) hujasikia? Nadhani hujamwelewa hata kidogo kwa sababu amerudia maneno yake ya baadhi ya viongozi kuwa na maslahi binafsi (ambapo amekuwa akumaanisha zitto) na akasema wananchi wa maswa wasitishwe na watu wanaotishia kumfukuza ambao sio vyombo vya habari bali ni viongozi wake.
shibuda anataka uraisi tuu kama mnataka muahidini kugombea uraisi mwone kama hajatulia huyu jamaa tamaa itampeleka pabaya sana!

Mleta hoja siyo mkweli ni mzushi mkubwa.Nimemsikia kwa makini wakati shibuda anachangia bajeti ya maliasili zinazoibwa na mistu.Hakusema hilo.

Ajiudhuru basi arudi huko Maswa (maana Maswa hawana redio TV WALA MAGAZETI) ili wamchague tena, CDM tumeisha choka nae.Alionekana Arusha kipindi cha madiwani akimwaga upupu aliwadanganya wenzake sasa yamewatokea puani!! Anatukana mamba kabla ya kuvuka mto, shauri yake!!!!!!!!!!!

CDM hawana umaarufu wowote Maswa, ni Shibuda ndio aliowapa umaarufu, mkimtoa n anyie mmekwishaaaaaaaaaaaaaaaa

Kwa sasa kama inataka kuimarisha utawala bora ni zaili wanaitaji kufanya maamuzi magumu shibuda ni pasua kichwa wasipoangali kufika 2015 atawavuluga vibaya sana.its better kupoteza jimbo kuliko chama kuvurugwa na mtu mmoja.

CDM hawakumsaidia chochote Shibuda kushinda Maswa, na wakimtoa CDM hata wafanye nn jimbo hawalipati n'go. Na niwajuavyo wasukuma hakuna mtu wa CDM atakae ruhusiwa kukanyaga Maswa na ndio utakuwa mwisho wao. Ndio maana jamaa anawaendesha atakavyo kwani mkimwaga ugali yeye anamwaga mboga

Hujasema point hapa mzee,eti ujuavyo wasukuma,kwani wao kina nani thn kabila kawaida la tz ambalo halina hata kiduchu mamlaka au hata nguvu za kukizuia chama kuingia maswa,isue n kwamba huyu n msaliti mkubwa cna,ka mpo kambi moja and then we unatoka kivyako na kuwaponda hata wenzio we n msaliti wa ku2pilia kulee

Tatizo la wafuasi wengi wa CDM ni kuwa wengi wanaongozwa na hisia kuliko uchambuzi wa mambo. Hii ndio inawafanya wengi washadidie kufukuzwa kwa Shibuda bila kutueleza sababu za msingi. Hakuna maamuzi yoyote ya kamati kuu ambayo Shibuda ameyapinga. Hata hili suala la posho yeye alieleza tu hisia na mtazamo wake. Vinginevyo wafuasi wa CDM watueleze kuwa ukiwa ndani ya hicho chama hutakiwi kuwa na fikra tofauti na watu wawili watatu. Na kama hii ndio kweli basi hicho kitakuwa chama cha kijinga kabisa kuwahi kuundwa duniani. Na inabidi watu watambue kuwa, enzi za kulazimisha watu wote waabudu fikra na matakwa ya watu wachache zimeshapitwa na wakati. Nafikiri ndio maana hata uongozi wa CDM haujachukua maamuzi yanayoshinikizwa na watu wachache ya kumuadhibu Shibuda na hata Zito.

Mleta hoja siyo mkweli ni mzushi mkubwa.Nimemsikia kwa makini wakati shibuda anachangia bajeti ya maliasili zinazoibwa na mistu.Hakusema hilo.

Utajaribu kutetea sana, ila haito saidia wengi tumemsikiliza labda ww mwenzetu radio yako ilikuwa haishiki bunge la Tanzania. nadhani utakuwa unasikiliza Radio somalia ndio maana

Naamini kwa hii tabia siyo nzuri kwa kiongozi kama yeye aliyeaminiwa na watu wa Maswa kupitia CDM, kama anaweza fanya hivi kwa chama chake vipi kuhusu siri za nchi anaweza kuzitunza huyu..,hafai kupewa madaraka yoyote katika chama chochote au taasisi yoyote anaongea mpaka anapitiliza ndiyo maana CCM walimmwaga..

Halafu hajui kipi azungumze wapi au anajipendekeza kwa magamba..atakuwa na matatizo kuliko tudhaniavyo huyu Mtu..

Inabidi tukubaliane tafsiri ya utawala bora ni nini. Vinginevyo wengine tunafahamu kuwa utawala bora ni pamoja na kutoa fursa bura kwa wengine kutoa mawazo yao hata kama hukubaliani nayo. Kinyume na hapo inakuwa umevunja misingi ya utawala bora na nafikiri utakuwa unaongelea utawala wa kiimla
Kwa sasa kama inataka kuimarisha utawala bora ni zaili wanaitaji kufanya maamuzi magumu shibuda ni pasua kichwa wasipoangali kufika 2015 atawavuluga vibaya sana.its better kupoteza jimbo kuliko chama kuvurugwa na mtu mmoja.

Mtoa mada toa taarifa sahihi. Mimi nimeangalia na kusikiliza speech ya Shibuda naona kama ulivyoelewa na nilivyoelewa ni tofauti. Shibuda kasema vyombo vya habari vinamslead msuguano wake na chadema, Kutofautiana mawazo ni jambo la kawaida, anatekeleza matakwa ya CC, wabunge wanaomuuliza atafukuzwa lini CDM wamkome, japo ilikuwa ni kuchangia Maliasili, yeye kasema maliasili yake ni Utawala bora unaoanza na maelewano katika vyama. Ndivyo nilivyosikia mipasho ya Shibuda

Ndugu yangu ungereja ulipita kwako nini ukashindwa kumalizia speech yake? Ina maana basi hata suala la kusema kuna viongozi Dictators wanazuia maoni ya watu ya kuongea ukweli jambo ambalo yeye anasema hawezi kuliafiki, pia kuongelea Maswa kuwa sio Shamba pori na hata suala la kiongozi chaguo la mungu etc etc yote hujasikia Mkuu?? Pole sana mkuu.

Hujasema point hapa mzee,eti ujuavyo wasukuma,kwani wao kina nani thn kabila kawaida la tz ambalo halina hata kiduchu mamlaka au hata nguvu za kukizuia chama kuingia maswa,isue n kwamba huyu n msaliti mkubwa cna,ka mpo kambi moja and then we unatoka kivyako na kuwaponda hata wenzio we n msaliti wa ku2pilia kulee

Mtoeni basi muone, mtajutia maisha yenu yote !

Hivi Zitto na Shibuda si walikuwa kambi moja pale mwanzoni? Kumbuka ni Shibuda alimtetea Zito kule bagamoyo

shibuda kashinda maswa kwa nguvu zake chadema kama chama imepelekwa na shibuda hata akitoka leo cdm aende TLP, NCCR, CUF au arudi CCM, atashinda tu. ndio maana ana jeuri.
Kama anakubalika kiasi hicho, ni kwanini hawakumchagua kwenye kura za maoni za CCM? Kwani kilichompeleka CHADEMA ni nini? Read my words, huyu akitoswa na CHADEMA tu, hatakaa ausikie ubunge tena maisha yake yote maana hata hao CCM hawatampokea tena.

kweli ww ni kiziwi, unahitaji kuzibuliwa masikio yako, acha ushabiki na upenzi jamaa amewaumbua sana sana ! hamlali leo dodoma, au mtaitisha maandamano ya kulaani kauli za shibuda?
Thridi kama hizi unazifurahia sana naona unachangia kwa bidii kweli.

Watu wa Maswa hawakuiamini CDM bwana usije kutudanganya. Siku zote tabia ya CDM ni kufukuzia watu wenye umaarufu na kuwashawishi wagombee kwa tiketi ya Chama chao. Kwa CDM watu ni maarufu kuliko chama na ndio maana utasikia mara wanamfuata Sita mara Nape. Mniambie watu zaidi ya watatu ambao waliuzwa na CDM ambao hawakuwa na umaarufu wao binafsi

Back
Top Bottom