Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

Kufuata watu wenye umaarufu siyo njia itumiwayo na CDM pekee ni njia inayotumiwa na vyama vingi vya siasa,ila kwa kipindi kile kama CDM wasingemuokota angetokea wapi kuja kupiga hizo kelele leo? Na kwa sasa angalia upepo vizuri je umaarufu wa CDM (nikimaanisha chama) huko maswa ni uleule ulikokuwepo kabla ya 2010?
Vyama vyote vinavyoongozwa kisasa lazima vijiwekee utaratibu wa kupika makada wao na kutengeneza tabaka la viongozi wao. Kwanza unapoenda kuokota makada wa chama kingine unamaanisha kuwa falsafa za vyama vyenu zinalingana.Ni sawa na Marekani watu wa Democtrats wakanunue mtu wa republican haiingii akilini kwa sababu vyama hivi ni tofauti sana kiitikadi. Na ukumbuke itikadi ni kama imani.

Sasa kwanini hakusimama na chama cha wavua samaki akakakimbilia CDM? Sina mpango wa kuikuza CDM manake kama ilivyo CCM sifuraishwi navyo katika mambo fulani lakini ni ukweli usina kificho CDM inakuwa kwa kasi ambayo hawa watawala hawakuitaraji na fun enough wali/anaisababisha wao

Bolded:Heshima ni kitu kidogo hunijui sikujui na sitaki kukujua...tupingane kwa hoja..
Hoja hapa ni kuwa CDM ndio walienda kumlilia. Ulizia viongozi wake watakwambia.
Bollded: Nilipitiwa kidogo mzee

Mimi naona km kajiponda mwenyewe,anajidhihirisha
wazi asivyokuwa nabusara inayoendana na umri wake.

Nimemsikia anasema Maswa inawenyewe huku akisahau
kuwa walimkataa kwenye kura ya maoni akaokolewa
na CHADEMA.

Mzee mzima aliyeamua yy mwenyewe kuharibikia ukubwani
maskini wala hajui kupima mambo kwamba azungumze nini
wakati gani na sehemu gani mtu hatari kwake yy mwenyewe.

Aondoke kwenye chama anasubiri nini?au anataka afukuzwe
apate sababu ndo mana anabwabwaja ovyo,CDM ni wkt
sahihi kuchukua maamuzi sahihi dhidi ya huyu jamaa.

Wanamaswa daima hawawezi kukubali utovu wa nidhamu
kiasi hiki.

Acha ushabiki wa Simba&Yanga wewe, mi mwenyewe sikufurahishwa na kauli zake regardless ni CDM or CCM sababu haionyeshi picha nzuri kutoa aibu ya ndani ya chama chako sehem kama bungeni ambapo watnz wengi wanakodolea macho. Je kutokana na ushabiki wako wa kitoto Shibuda hakuongelea picha halisi ya yeye na viongozi maDictators ambapo anasema haogopi kuzungumza ukweli kama dini yake inavyoamrisha?? Je hakuongela suala baadhi ya viongozi wako kwa maslahi binafsi akilenga ndani ya CDM? Je hakuongelea kuwa maswa sio shamba pori akiwa na maana lina mwenyewe? Je kusema kauli kama hizi mbele ya umma especially kama anabishana na viongozi wake hii sio aibu na kuizalilisha chama machoni mwa watu? Acha UMASABURI wewe njoo na hoja.
Mi naona ni sawa tu kwa yeye kuongea kwa sababu hoja aliyoshambuliwa nayo aliitolea bungeni kwa hiyo lazima vilevile akaisahihishie bungeni

Shibuna ni kirusi ndani ya chadema.du! kwa kauli zile cjui kwann mpk ss hv bdo wanamwangalia tu.ccm waliona mbali sn kumtosa kwan walijua wapangaji wamehama kichwan.

Mimi naona km kajiponda mwenyewe,anajidhihirisha
wazi asivyokuwa nabusara inayoendana na umri wake.

Nimemsikia anasema Maswa inawenyewe huku akisahau
kuwa walimkataa kwenye kura ya maoni akaokolewa
na CHADEMA.

Mzee mzima aliyeamua yy mwenyewe kuharibikia ukubwani
maskini wala hajui kupima mambo kwamba azungumze nini
wakati gani na sehemu gani mtu hatari kwake yy mwenyewe.

Aondoke kwenye chama anasubiri nini?au anataka afukuzwe
apate sababu ndo mana anabwabwaja ovyo,CDM ni wkt
sahihi kuchukua maamuzi sahihi dhidi ya huyu jamaa.

Wanamaswa daima hawawezi kukubali utovu wa nidhamu
kiasi hiki.

Wewe wana Maswa huwajui na katu hutowajua maishani mwako. Hakuna mtu aliyekuwa anaijua CDM Maswa kama Shibuda asinge washika mkono na kuwapeleka, acheni kudanganya watu nyie aliye waita mavuvuzela na matarumbeta

Mimi naona km kajiponda mwenyewe,anajidhihirisha

wazi asivyokuwa nabusara inayoendana na umri wake.

Nimemsikia anasema Maswa inawenyewe huku akisahau

kuwa walimkataa kwenye kura ya maoni akaokolewa

na CHADEMA.

Mzee mzima aliyeamua yy mwenyewe kuharibikia ukubwani

maskini wala hajui kupima mambo kwamba azungumze nini

wakati gani na sehemu gani mtu hatari kwake yy mwenyewe.

Aondoke kwenye chama anasubiri nini?au anataka afukuzwe

apate sababu ndo mana anabwabwaja ovyo,CDM ni wkt

sahihi kuchukua maamuzi sahihi dhidi ya huyu jamaa.

Wanamaswa daima hawawezi kukubali utovu wa nidhamu

kiasi hiki.

Mkuu Matongo kuna watu wawili juu wanapinga hajaongea hizo kauli uzushi sasa sijui TV zao zina matege au zinapindua maneno, wamenikera! Baada ya kukaa kujadili utovu huu wa nidhamu wanajaribu kuleta ubishi wa kitoto utaadhani humu ni Hi5 ya watoto. Kuna jamaa ananiambia hapa kando hao ndo wale wanafikiria kwa kutumia MASABURI yao.

Kama hujuwi siasa za Maswa acha kudanganya watu hapa jamvini. Shibuda alikuwa maarufu hata kabla ya CDM. CCM inawezekana walimtoa kwa majungu ya zile siasa za majitaka . Na swali lingine ambalo lazima ujlize kwa nini wagombea ubunge wote waliosimamishwa na CDM ni wabunge kama 30 tu Tanzania nzima waliopita? Msimuanderestimate mtu kwa sababu ametofautiana na wachache humo ndani. Hivyohivyo milmfukuza WangWe hadi sasa jimbo la tarime limeondoka.

Shibuda is an explosive material awaiting for detonation, and the aftermath of his friendly fire will be unexpectedly catastrophic. He is something of a snake in grass but surprisingly Chadema pretend to be stoic of his perniciousness and condones his maliciousness.

Mkuu Matongo kuna watu wawili juu wanapinga hajaongea hizo kauli uzushi sasa sijui TV zao zina matege au zinapindua maneno, wamenikera! Baada ya kukaa kujadili utovu huu wa nidhamu wanajaribu kuleta ubishi wa kitoto utaadhani humu ni Hi5 ya watoto. Kuna jamaa ananiambia hapa kando hao ndo wale wanafikiria kwa kutumia MASABURI yao.
Kama umekereka ujinyonge. Watu wanachopinga ni ile kutujengea dhana kuwa kila anachoamua Mbowe ndio kila mtu afate. Huo ni utumwa wa akili

Nimemsikiliza sana Shibuda tena kwa makini sana. Hili ni jambo linaloweza kuletwa kwenye vikao ambavyo mimi ni mjumbe. No comment for the time being.

mkuu nashauri shibuda aachwe kama alivyo mpaka amalize muda wake,msije mkakurupuka itawa-cost kinoma

Jamani kinachoendelea sasa kuhusu huu mjadala ni mpango mahsusi wa CCM wa kuchochea mgogoro kati ya Shibuda na viongozi wenzake ili ukikomaa wamuue Shibuda kisha wawasingizie Chadema kuwa ndiyo waliomuua.

Mkakati huu CCM waliwahi kuutumia kwa Chacha Wangwe, sasa wanataka wajaribu tena bahati yao, sasa Shibuda shauri yake kama atacheza ngoma hii ambayo itampeleka kaburini.Hebu angalieni Genius Brain anavyochangia kwa nguvu siyo bure kuna kitu kinapikwa, jamani CCM ni magaidi.

Shibuda is an explosive material awaiting for detonation, and the aftermath of his friendly fire will be unexpectedly catastrophic. He is something of a snake in grass but surprisingly Chadema pretend to be stoic of his perniciousness and condones his maliciousness.
Na shibuda atawafanya mmalize editions zote za dictionary. Kama msivyomweza nzitto na shibuda hamuwawezi. Wale hawasubiri mtu mwingine asubiri kwa ajili yao. Ndivyo hivyo alikuwa Wangwe

Shibuda leo amewaingiza viongozi + wapenzi+wanachama choo cha kike
Weee wacha ushabiki CDM INA TARATIBU, SHERIA,MAADILI kwenye uongozi wake lazima watakuwa na majibu yake. Silazima watoe majibu hapa jamvini, we ngojea kusikia maamuzi tuu!!!!!!!!!!

Jamani kinachoendelea sasa kuhusu huu mjadala ni mpango mahsusi wa CCM wa kuchochea mgogoro kati ya Shibuda na viongozi wenzake ili ukikomaa wamuue Shibuda kisha wawasingizie Chadema kuwa ndiyo waliomuua, mkakati huu CCM waliwahi kuutumia kwa Chacha Wangwe, sasa wanataka wajaribu tena bahati yao, sasa Shibuda shauri yake kama atacheza ngoma hii ambayo itampeleka kaburini.Hebu angalieni Genius Brain anavyochangia kwa nguvu siyo bure kuna kitu kinapikwa, jamani CCM ni magaidi.
Huu ni uoga wa kitoto

Shibuda ni mzigo mzito sana usiweza kubebwa zaidi na CHADEMA!Tueni huo mzigo viongozi wangu,utatuumiza na sanasana tutazama baharin!Tupeni nje huko this great idiot

Shibuda is an explosive material awaiting for detonation, and the aftermath of his friendly fire will be unexpectedly catastrophic. He is something of a snake in grass but surprisingly Chadema pretend to be stoic of his perniciousness and condones his maliciousness.

You are too pessimistic about life,
that's why you always think negative...

Back
Top Bottom