Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

Inashangaza watu wazima tunaanza kuumiza kichwa kwa ajili ya Shibuda.Yaani huyu ni 'Kichaa' wa kisiasa ambaye nadhani CDM ikianza kukimbizana naye nayo itaonekana imejengwa na 'Vichaa' wa kisiasa,

Ana madhara yapi hasa kwa chama? Maana hata anayoongea bungeni ni uchizi chizi ambao mtu yeyote makini atamchukulia hivyohivyo. Haeleweki nini anasimamia, he is totally confused and undefined. Na approach ya CDM kumpuuza ndiyo inazidi kumdidimiza zaidi. Sioni sababu ya kumkimbiza 'Chizi' huyu wa kisiasa unless kama wote tunataka tuwe 'machizi' wa kisiasa kama yeye,
 
Hivi cdm hawakujuaga huyu ni kichaa tangu ikiwa ccm?ona ilivyowasumbuaga,hadi wakamdampo.
 
Nimemsikiliza sana Shibuda tena kwa makini sana. Hili ni jambo linaloweza kuletwa kwenye vikao ambavyo mimi ni mjumbe. No comment for the time being.

Ukweli mchungu,usemwa na watu wenye roho ngumu kama shibuda,vipi mbona ccm wakificha ukweli nyie vinywa vyenu utokwa na matamshi yenye ghadhabu sana,sasa mmeona kuwa kuna mambo hayapaswi kuzungumzwa na wanachama wenu,hata kama ni kweli.
 
1-dr alieshindwa upadre mwizi wa wake za wa2 ndio mwema no 1

jibu hoja kilaza wewe!yupi katika magamba kwa vigezo vyenu nimwema?huwezi kajiunge na TOT ya Komba muimbe mipasho,nasikia waimba mipasho wamepungua.We mwanamke au mwanaume?maana hata vilaza wenzako waimba mipasho akina Kopa waliula NEC ya ccm
 
Tatizo sio shibuda bali mfumo mzima wa utawala CDM ni wa mashaka na unatia shaka! kuna harufu ya ukabila na udini!!

kama kwa akili yako Shibuda yuko sawa zaidi ya safu yote ya chadema lazima utakuwa kama yeye NUT.Angalia mwenyekiti wa ccm b kasema anaenda kumuwekea Ponda dhamana,Zanzibar Bimani wa ccm b analalamikia kukamatwa kwa uamsho.
Wakiwa Bagamoyo uvccm waliwahi kutoa tamko kwamba rais ajaye hatatoka kaskazini.Huo si udini na ukabila?
Jamvini kuna wengi wenye akili zao ila wachache mliomuachia Nape na Mukama.Uchangiapo tumia brain siyo tumbo au makalio
 
shibuda ni wa kupuuzwa tu, cdm ikubali kwamba shibuda ni moja ya inzi waliongia wakati madirisha yalipoachwa wazi, kama vipi dk.slaa apply rungu spray
 
Tatizo sio shibuda bali mfumo mzima wa utawala CDM ni wa mashaka na unatia shaka! kuna harufu ya ukabila na udini!!

cdm ucpokuwa muislam wanasema anapingwa 7bu ya udini,ukiwa mkristo lakini hutoki kaskazini wanasema anapingwa sababu si mkaskazini.
..huu si u-great thinker!
 
Wewe wana Maswa huwajui na katu hutowajua maishani mwako. Hakuna mtu aliyekuwa anaijua CDM Maswa kama Shibuda asinge washika mkono na kuwapeleka, acheni kudanganya watu nyie aliye waita mavuvuzela na matarumbeta

kweli point Mwanza,Musoma,Kigoma,Mbeya,Iringa,Kinondoni nk Chadema ilikuwa haijulikani na kote huko kaipeleka Shibuda.Wahenga walisema MUNGU HAMFICHI MNAFIKI
 
Akichangia hoja ya Maliasili na Utalii bungeni leo,amerudia kauli yake ya malipo ya Muha iliyopingana na msimamo wa Cdm. Amesema kuna viongoz maslahi na yeye hatishwi na mavuvuzela.Mimi sio tundapoli hata wanamaswa wanajua. Ameichana cdm kwa mafumbo makalimakali na kusema haogopi chochote.Msije kutuletea viongoz Idd Amin kwa kuelekezwa na siasa za chuki na kutumia vyombo vya habari.

huyu kada wa zamani wa ccm,bado atakuwa anatumiwa.anatafuta namna ya kuvuruga,hajapata pakuanzia,ndio maana kila akipata nafasi anaongea mabo ya cdm.!!!
 
Ukweli mchungu,usemwa na watu wenye roho ngumu kama shibuda,vipi mbona ccm wakificha ukweli nyie vinywa vyenu utokwa na matamshi yenye ghadhabu sana,sasa mmeona kuwa kuna mambo hayapaswi kuzungumzwa na wanachama wenu,hata kama ni kweli.

Shibuda anatapatapa, hakuweza hata control alichokuwa akisema.Sasa yeye alidhani Bungeni vyombo vya habari havichukui?
 
Nimemsikiliza sana Shibuda tena kwa makini sana. Hili ni jambo linaloweza kuletwa kwenye vikao ambavyo mimi ni mjumbe. No comment for the time being.

Kamumunya sana maneno baada ya kuchanganya CCM na CHADEMA. Ni ishara tosha kuwa alikuwa aware kuwa kuchanganya CCM na CHADEMA kunamvua nguo sana,ndio maana akawa makini kwa hilo huku akikosea sana fikisha ujumbe wake.

Huyu jamaa alipewa kazi ngumu sana ktk chama kilicho dyanamic kama CDM huku maboss wake wakiwa very slow and rigid ktk kubadili na kutoa maelekezo mapya.Hii ni failure ya usalama wa taifa kam walimtrain huyu jamaa.
 
Na yuko sahihi sana. Tangu 1992 CHADEMA ipo lakini watu wa Maswa hawakuichagua. Na hata CCM walipomwengua, bado watu wa Maswa waliendelea kumchagua hata alipokuwa nje ya CCM. kwa hiyo pale Maswa anayependwa ni Shibuda, siyo CCM wala CHADEMA. Ni kama Mrema wa Vunjo, wanamchagua tu bila kujali chama gani yuko.

Umekosea mno. Maswa kuna majimbo mawili, na yote yako CDM.
Hivyo ingekuwa wana Maswa wanampenda Shibuda tu, Kasulumbai wasingemachagua, na pale jirani Meatu, Oporukwa asingechaguliwa kwa CDM.
 
Umekosea mno. Maswa kuna majimbo mawili, na yote yako CDM.
Hivyo ingekuwa wana Maswa wanampenda Shibuda tu, Kasulumbai wasingemachagua, na pale jirani Meatu, Oporukwa asingechaguliwa kwa CDM.

kasahu kuwa CDM is phenomenon in itself, na wapo kuvunja barrier na vifungo vyote.Kama walivyowatoa CCM ktk majiji yote ndivyo watakavyo watoa vijijini.Shibuda aombe Mungu kutoka kwake CDM kusisabishwe na kashfa zake,akizianzisha basi hata huko kwake atakosa.Kwanza kama ni mamluki wa CCM anaweza kuwa alishinda kwa effect ya Chadema na push ya CCM ktk background ili aje fanya afanyayo na si uwezo binafsi.
 
Back
Top Bottom