Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

Naangalia kikao cha bunge leo jioni,ni zamu ya waziri Maige,anablem kamati ya mazingira na maliasili chini ya Mh Lembeli na kumwonya kuwa amwogope Mungu.HII IMEKAAJE? Source:tbc1
 
....huyu msanii tuu, ni rafiki na anatumiwa sana na vasco da gama, hata kupeleka/gawa mapororo kwa mashemegi wa totoz za jamaa !
 
habari zilizoenea ni kuwa kanunua nyumba oystebay ya usd 1.2 million, jioni akienda kulewa anatoka nyumbani kwake na X6 BMW latest, kijana huyu hana hata miaka 35, takukuru sisi tunajua fuatilieni
 
Wizara yake ina madudu kibao ,lakini dakika kumi alizopewa na spika anazitumia kujitetea eti hakuwepo mara hakuulizwa sasa kama hukuwepo ulikuwa wapi , ina maana hujui kuwa kuna kamati .anamuomba mh Lukuvi amsaidie aende akajiandae vizuri..kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
eti ripoti ina kurasa 60 zimezungumzia wizara yake...blah blah..

kosa lingine. unajuwa kamati inakuja, unakuwa haupo.why? au anafikiri kamati ya kudumu ya bunge ni kamati ya harusi?
 
Mkuu jk amesema ni upepo unapita siunajuwa wanafaham wabongo watasahau 2015 hamtakumbuka madudu
 
bi kiroboto amenichanganya aliposema waandike barua kwa waziri mkuu. ni yupi huyo waziri mkuu, mpya au huyu tunayerubuniwa eti ni mtoto wa mkulima?

si barua,ni majibu ya hoja za wabunge,it meanz kiutaratibu hawa mawaziri wanapaswa kujibu hoja si tu kwa maneno ila pia kwa maandish,na wapeleke kwa p.m na kwa kamat zao,including wabunge nafikir
 
utaratibu mpya: mawakala watakiwa responsible kupeleka mbolea/pembejeo mpaka vijijini, watakabidhi pembejeo sio vocha - Maghembe

mwakani wakiulizwa wataanza hadithi nyingine.....
 
kosa lingine. unajuwa kamati inakuja, unakuwa haupo.why? au anafikiri kamati ya kudumu ya bunge ni kamati ya harusi?

mkuu wangu huu ni uzembe wa hali ya juu ..na ujue hata wakati kamati ikisoma ripoti bungeni jamaa mara nyingi unakuta hawapo ..sasa sijui tumlaumu nani hapa.
 
jamaaa kapagawa, uwaziri mtamu na makinda kakandamizia kuwa ripoti zilikuwa mezani. Jamaa watatokaje hawa nasubiri kuona.
 
Yaani mlikuwa mnadhani kuna mtu toka magamba tajizuru?

Hakuna mtu anayetoka kwa kuwa mkulu hajabariki yeyote atoke!! JK alishasema yeye haendeshi serikali kwa mashinikizo!! So hakuna anayetoka hapo!!
 
Back
Top Bottom