Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

hata kauli yake ya mwisho kwenye kujibu hoja waziri maige kasema sijui itakuaje? ni dhaili kuwa hatorudi mpingo house.
 
uwi.......hi ni filamu gani?mbona kama comedy?yani dahhhhhhhhh!
Sijui nisage chupa ninywe!!mbona sijielewi?au naota nn???mh..ahaaaa.......kumbe niko ndotoni apo sawa...sasa ngoja nimalizie hii ndoto alafu ntaufungua tena huu uzi lol!
 
miye ninchoka, nitarudi baadae
 
Wizara yake inatoa vibali vya uwindaji kinyume cha sheria.

Maige anailalamikia Kamati kuwa haikumshirikisha yeye kama Waziri.

Maige anadai Kamati 'inadaiwa' kuhongwa.

Kamati inadai Wizara imejaa watu wenye viburi sana na dharau, waliinyima ushirikiano Kamati wakati wa utendaji.

Kamati inaomba Serikali iwawajibishe wanaoshiriki ufisadi Wizarani unaoliingiza taifa hasara.

Mkuu waziri anaweweseka kimsingi achie ngazi.
 
Haya maelezo anayotoa pindapinda kwa sasa hata hayanivutii kabisa... Nasubiri kipengele cha 'uwajibikaji'....
 
Back
Top Bottom