Nchii hii kila mtu analalamika kuzungukwa! Tuko kwenye mbuyu kila mtu anamzunguka mwenzake.anataka hoja iarishwe sababu yeye vikao vingi hakushirikishwa vya kamati ya bunge kama waziri. Yaani ni kama kamati ilikua inamzunguka.
Huyu bhana,anajitetea tuuuu,
ila wizara hii chafu
Maige: yaliyobainika ni mapungufu madogo madogo
uk wa 34 wa taarifa ya Lembeli ..aa madudu kibao watanzania tunadharaulika kweli ..sina nguvu ya kuendelea kuripoti hapa