Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
Taanzania inakera
anadai eti wanaolalamika waende mahakamani badala ya kwenda bungeni ..ni kuhusu vitalu
uuuuwiiiiiiii
kapanda Maghembe
jamaa wanauza wanyama kwa waarabu. sasa wanyama wetu wakiisha waarabu si watakuja kutunaniliu?
Ndio maana kila mtu anautaka uwaziri. Kuna watu tayari wapo Handeni na Pangani baada ya hizo tetesi za mawaziri kujiuzulu.nasikia kanunua nyumba oysterbay ya usd 1.2 million, na kila jioni akienda kulewa huku mikocheni anatoka na x6 bmw mpya, kijana hana hata miaka 35, takukuru na huyu awashindwe
wanyama wakiisha itabidi wauze masaburi yao sasa...kwa nini kila siku wanauza wanyama kwa waarabu? eti hadi kobe wameuzwa eti ..jamaa wanauza wanyama kwa waarabu. sasa wanyama wetu wakiisha waarabu si watakuja kutunaniliu?
Huo mpango ndio hana kabisa. Kweli WAZIRI MTOTO AMEKAMATIKA! teh! teh! Spika Semamba kamkaanga!
kwanza wakati inasomwa yeye hakuwepo huyu hata wabunge walilalamika leoMaige kachanganyikiwa wakuu, hajui hata analoongea, eti taarifa imewasilishwa ghafla, ndio kwanza ameipata leo, hakuhusiswa ipasavyo kwenye mahojiano..... Hivyo anadai hajajiaandaa vema kujibu hoja.
Bibi kiroboto anasema kamati zake zimefanya kazi ipasavyo.
huyu profesa ndio bure kabisa .....sijui kama ataongea nini ngoja tumsikilize