Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

wakuu nahisi wabunge wa ccm wapo kwaajili ya kupoteza mjadala wa uwajibikaji. Wanapoteza tu muda.
 
HIVI jamani hii imekaaje? inakuwaje mwekezaji akodi shamba -ekari kwa Tsh.280/-? sisi ni vichaa au vipi maana hata kule kijijini kukodi shamba ni zaidi ya Tsh 10,000/-, eti viongozi wetu wakodisha ardhi kwa 280/- tumerogwa na nani jamani au ndio kusema tukiona ngozi mzungu tunapata kiwewe ktk kutoa maamuzi? nauliza
 
mkuu wanavyosema nchi imeuzwa wanamaanisha imeuzwa kweli.
 
HIVI jamani hii imekaaje? inakuwaje mwekezaji akodi shamba -ekari kwa Tsh.280/-? sisi ni vichaa au vipi maana hata kule kijijini kukodi shamba ni zaidi ya Tsh 10,000/-, eti viongozi wetu wakodisha ardhi kwa 280/- tumerogwa na nani jamani au ndio kusema tukiona ngozi mzungu tunapata kiwewe ktk kutoa maamuzi? nauliza

Hivi ni 280/- au 220/-?
 
Wizara yake ina madudu kibao ,lakini dakika kumi alizopewa na spika anazitumia kujitetea eti hakuwepo mara hakuulizwa sasa kama hukuwepo ulikuwa wapi , ina maana hujui kuwa kuna kamati .anamuomba mh Lukuvi amsaidie aende akajiandae vizuri..kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
eti ripoti ina kurasa 60 zimezungumzia wizara yake...blah blah..
 
Maige anamtaka Waziri Lukuvi asitishe mjadala huu akaandae majibu ya hoja za wabunge!
 
Waziri wa ardhi maliasili na utalii: waziri anasema hoja ihairishwe, hakuwa na taarifa, wizara haikushikirikishwa kwenye uchunguzi wa uliofanywa na kamati
 
uyu anailaumu wizara kuwa hajauliza kuhusu wanyama , kwa nini asijibu kuwa hao wanyama wamepelekwaje huko pakistani na Kamrani?
 
Back
Top Bottom