Sasa anaongea Mhe. Andrew Chenge, ambaye ni mmoja wa wabunge wachache wenye busara sana na uelewa wa hali ya juu kuhusu masuala ya kisheria.
Usisingizie ameponda, amesema amesikitishwa!. Mhe. Chenge anasingiziwa sana kama ni tule tujisenti, japo wengi wanadhani ni hela nyingi, ila kuikweli tule ni tujisenti tuu, mgeona kiasi cha wenye fedha kule Credit Sussie, ndipo mngejua tule twa Chenge ni tujisenti tuu!.pacha wa tatu chenge
[*=1]awapondea cdm kutoka nje wakati walikuwa na hoja nzito.