Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

taahira...wana hasira tundu lisu anavyowakimbiza bungeni..after all sidhani kama TL ana shida sana na shukrani zao..sisi ndio tunaona umuhimu wake,kwa wapenda haki tl ni shujaa lakini kwa mafisadi ccm tundu lisu ni mropokaji
 
Andew chenge anasema;
Mimi nakubaliana na kambi ya upinzani.nawashukuru sana. lakini walipaswa yale mambo yao wayaongee. walikosea sana. iliniuma sana mswaada huu kutokusomwa kwa mala ya kwanza siku ile.iliniuma sana. nakushukuru spika umesimama kidete hatimae leo umesomwa kwa mala ya pili. naishukuru serikali kwa kuleta malekebisho haya. naunga mkono hoja. mh.spika, niisaidie serikali kwenye kifungu chaa...(hakusema kasema ataiongelea baadae wakati wa kupitisha). nataka wote tuone kazi ya dc. by chenge.
 
pacha wa tatu chenge

  • [*=1]awapondea cdm kutoka nje wakati walikuwa na hoja nzito.
 
chenge;
nmeshukuru sana baada ya kuona wenzetu wameanza kuona kwamba wamekubali rais wa tanzania wanakubali kuhusika kwenye katiba.naunga mkono hoja. by chenge
 
That's very trivial! twend kwenye mambo ya msingi, Mbona katika ule muswada mbovu alimshukuru na wakapitisha muswada mbovu kiasi kile. Whats shukrani goig to add?
 
Anamwaga upupu huyo! Halafu anamfundisha Mwanasheria wa sasa Fredrick Werema,naye kugombea jimbo huko Musoma...
Tabu sana nchi hii...
 
huyu Waziri wa Katiba sio yule mama Kichwa maji mbunge wa Ulanga !

hata ukimtazama huitaji kuambiwa yule ni sawa na Sophia simba ! hahaaaah shake before use.
 
Sasa anaongea Mhe. Andrew Chenge, ambaye ni mmoja wa wabunge wachache wenye busara sana na uelewa wa hali ya juu kuhusu masuala ya kisheria.

amezeeka na kuchoka na sheria zake za kizamani na mikataba iliyoifilisi nchi,we naona wanakutuma kuja kuwasafisha hapa
 
Sasa anazungumza Mhe. Pindi Chana, huyu ni mmoja wa wabunge mahiri na makini ambaye kitaaluma ni mwanasheria mwenye LL.M, Tangu siku nyingi alistahili kuwa waziri, tatizo lake yuko too strict!, hakai mguu upande!, hivyo uwaziri hapati!
Angalizo, simaanishi kila anayeupata uwaziri ni lazima akae mguu upande!.
 
pindi Hazara Chana anasema;
ibala ya 62. bunge linatimilika linapokuwa na rais. mswaada huu umetambua powers za rais.
ghana waliunda tume bila wanasiasa. lakini sisi tumeweka wanasiasa. so tunawaomba wanasiasa mtakao chaguliwa muweke masirahi ya nchi mbele sio vyama vyenu bali watanzania. naomba sana hilo. nachangia pia kipengele cha 12.4. rais naomba aunde tume ya kusikiliza kesi ya mtu aliyefukuzwa kwenye tume sambamba na tume ya katiba.wakati wa vyama vingi 80 chama kimoja 20 vyama vingi.. p.t.o
 
Pindi chana anasema ;
tume zote zilizoundwa walishirikishwa wakuu wa wilaya kwanini hii aondolewa. mimi naomba mkuu wa wilaya tusimuache. kwani mkurugenzi hana machinary, atafanyia wapi mkusanyko?
haya mambo ya elimu inabidi yapewe mda, tarehe na sehemu ambayo elimu itatolewa. pamoja na maoni yangu haya naunga mkono hoja. bya chana.
 
pacha wa tatu chenge

  • [*=1]awapondea cdm kutoka nje wakati walikuwa na hoja nzito.
Usisingizie ameponda, amesema amesikitishwa!. Mhe. Chenge anasingiziwa sana kama ni tule tujisenti, japo wengi wanadhani ni hela nyingi, ila kuikweli tule ni tujisenti tuu, mgeona kiasi cha wenye fedha kule Credit Sussie, ndipo mngejua tule twa Chenge ni tujisenti tuu!.
 
Moses Joseph Machali anasema;
kwa niaba ya chama changu cha nccr na kambi ya upinzani lasmi. naungana na kambi ya upinzani na serikali kwa mswaada wao. siungi mko watu ambao wanaipinga serikali kuhusu madc. tena nasema hawa watu ni waasi wa srikali.(kwa nyuma mnyika anampa point za kusema kwamba wakurugenzi wana machinary hadi ngazi ya vijiji). hawa wakurugenzi watakuwa ni moja ya tume ya katiba. mfano ni wakati wa uchaguzi, wakurugenzi ndio wanahusika. by machali( kuna mtu kaomba muongozo wa neno waasi)
 
Back
Top Bottom