BUNGENI: Muheshimiwa Tundu Lisu Live anachangia mjadala

Nimemsikiliza na kumwangalia,ukweli utaona kuwa akisemacho kinatoka moyoni sio kama baadhi ya wabunge wanafiki ambao wasemacho sio wakiaminicho ila ushabiki tuu na kujikomba
 
Lisu jembe ilo suala la mauaji waendelee kuchomekea mpaka ccm watie akili!
 
Tundu Lisu mmoja ni magamba 200 haya ni maneno ya JK mwenyewe. Nadhani ukweli umekuwa wazi
natofautiana na wewe, ukisema lisu ni sawa na magamba 200 unakuwa unamtukana Lisu mkuu sababu kimahesabu wapuuzi 200 kamwe hawawezi kuunda mwerevu mmoja.lq
 
Ahsnte JF kwa kutujuza japo kwa uchache mkiweza mtuwekee nondo zaidi alizozungumza mpambabaji Lisu.huku kwetu kuna mgao wa umeme wa mwaka mzima kisa tumemchagua kamanda Lema
 
Ahsante JF kwa kutujuza japo kwa ufupi, mkiweza muweke nondo zaidi
Alizotoa mpambanaji Lisu.huku kwetu kuna mgao wa umeme wa
Milele kisa tumechagua kamanda Lema
 
Wana jamii mambo zenu vp? Nawapa hi!! Sana kuwepo kwenu katika mtandao mnaelimisha sana,tunawapenda sana,thas why tunajiunga na wanajamii. Napenda jinsi mnavyofanya kazi,. Na zaidi napenda kuwapongeza wakurugenzi wa jamiif...naombeni mnipokee..
 
LISSU: Despite Technical Knockout you’ve smacked the Bull

Asubuhi nimetuma waraka wangu kwa wabunge wa CDM kuhusu mwenendo mzima wa uchangiaji Bungeni, kwa mshangao mkubwa nilihofia kwa namna ambayo ilionekana kama kukosa maarifa ya kuutanzua huu mtego wa offside trick wa CCM

Kwa mchango wa muda mfupi uliopita Mh. Mnadhimu Mkuu Tundu Lisuu umebreak deadlock, despite kuzongwa na Muda lakini ujumbe uleule wa mauaji na udhalilishaji wa Jeshi la Polisi uliogonga mwamba jana wakati wa maswali ya papo kwa papo ya Waziri Mkuu, umefika kwa more organized na systematic way.


Sina Shaka hii application itatumiwa na wapiganaji wengine kuendelea kutetea kilio cha Watanzania walio wengi.

Aluta Continua

Hongera kwa ushauri mzuri mkuu,naomba utujuze mbinu aliyotumia Mnadhimu
 
Back
Top Bottom