MTANZANIA620
Member
- Jun 20, 2023
- 34
- 30
Mbunge wa jimbo la vunjo mhe dkt charles stephen kimei atikisa bunge leo kwa mchango wake uliojaa ushauri murua ya namna ya kuongeza pato la taifa, kuzalisha ajira na kuboresha maisha ya kila mtanzania
Ashauri mikopo ya mabenki ilenge sekta za uzalishaji na biashara
Ashauri benki zenye mitaji ya serikali kulenga start up's, kuwapa wajasiriamali uatamizi na usimamizi ili wakue
Ashauri serikali ikope katika mabenki ya kibiashara ili kutunisha mifuko ya uwezeshaji utakaotoa dhamana kwa wakopaji ikiwemo mfuko wa kukopesha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kupitia mfumo wa 4-4-2
Asema utaratibu huu utaingiza fedha kwenye mzunguko, utakuza pato la taifa na kuboresha maisha ya kila mtanzania
Mchango wake wamuibua mbunge wa geita vijijini mhe dkt joseph kasheku msukuma kumpongeza
Sent from my infinix x678b using jamiiforums mobile app