Tundu Lisu amjibu mzee Kinana asema Chadema haihongeki ile Ruzuku ni Halali yao kama walidhani wanawahonga imekula Kwao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,086
Kumekucha

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Chadema haijapewa Ruzuku na CCM bali imepewa na serikali ikiwa ni halali yao kwa mujibu wa Katiba

Lisu anasema wakati wa maridhiano Kinana aliwaambia tena hiyo ruzuku ni ndogo kwa sababu kura zao nyingi waliwaibia wakati wa Uchaguzi ila walipaswa kupewa zaidi ya hiyo

Nimeikuta clip Huko kwa kamanda Mwaipaya X
 
Nadhani Mzee Kinana na Chama Chake hawapaswi kuyaogopa Maandamano ya Chadema. Wanatakiwa wajibu hoja zao kisayansi na sio ki propaganda. Mzee Kinana anatakiwa kujua nyakati zimebadilika. Angalau wananchi hawataki kusikia blah blah, wanataka kuona matendo. Hivi leo Mzee Kinana akiniambia mimi Mkazi wa jimbo la Ukonga kuwa wameipa Chadema Bilioni Mbili hiyo taarifa itanisaidia nini wakati ninapotoka na kurudi nyumbani nakutana na mabarabara mabovu mabovu mabovu? Kinana atanishawishi niichukie Chadema wakati tumewapa dhamana ya kutuongoza wanashindwa kujenga kilomita kumi za lami kutoka Moshi Bar mpaka Msongola? Kinana anataka tuwaze Bilioni mbili walizowapa Chadema wakati Mahospitalini kuko viobaya? Mzee Kianana anafikiri hatuoni wakitembelea mashangingi ya milioni ,ia tano kila moja huku barabara zetu wakiwa wamezitelekeza? Kinana anafikiri hatujui kuwa mahali ambapo wao wanaishi ni kama mbinguni ilhali sisi tunakoishi ni kama Jehanamu?
Mimi nadhani Jukumu la CCM ni kujibu kwa vitendo hoja za Chadema, jenga Miundombinu, boresha maisha.
Mimi binafsi sikuwa na umeme wakati mzee Kinana anaongea, umeme ulikuwa umekatika ila katika hili nadhani Mzee wetu Kinana amejisahau, anajua anatakiwa awashauri wenzie wafanye vizuri zaidi ya hizi political spinning.
 
Lisu Yuko sahihi, wakawahonge vile vyama 13 au ACT ya Zito. Na kama walimpa Mbowe wakidhani atawaburuza cdm basi wameliwa. Nimemsikia jana Kinana anaongea kwa kutishia eti kiongozi ana power, hivyo anataka watu wajinyenyekeze hata kama hawapati haki zao. Na mujibu wa mtazamo wake hizo haki wanazodai ni hisani kuzipata.
 
Kumekucha

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Chadema haijapewa Ruzuku na CCM bali imepewa na serikali ikiwa ni halali yao kwa mujibu wa Katiba

Lisu anasema wakati wa maridhiano Kinana aliwaambia tena hiyo ruzuku ni ndogo kwa sababu kura zao nyingi waliwaibia wakati wa Uchaguzi ila walipaswa kupewa zaidi ya hiyo

Nimeikuta clip Huko kwa kamanda Mwaipaya X
He is very right. Haki haiwezi kuwa hisani.
 
Hakuna ambae alisema sio haki yao.
wao c walisusia ? Na wakasema kwamba uchaguzi hawautambui haukuwa huru na wa haki na hawamtambui Rais aliyoko madarakani.

Baada ya kuitwa kwenye maridhiano ndo wakakubali na kumtambua kuwa Rais aliyoko madarakani ni wa halali.

Swali langu lipo apa kama wamkubali kupokea ruzuku ya uchaguzi ule wa jiwe 2020 iweje waendele na mchakato wao wa kutaka kuwafukuza wale covid 19 ? Si walishafanya maridhiano wawachie tu wamalize ubunge wao kama ambavyo wao wamekubali kupokea iyo ruzuku. ?

Tanzania hakuna vyama vya upinzani wote ni wale wale tu wagangaa njaa.
 
Hakuna ambae alisema sio haki yao.
wao c walisusia ? Na wakasema kwamba uchaguzi hawautambui haukuwa huru na wa haki na hawamtambui Rais aliyoko madarakani.
Baada ya kuitwa kwenye maridhiano ndowakakubali na kumtambua kuwa Rais aliyoko madarakani ni wa halali.

Swali langu lipo apa kama wamkubali kupokea ruzuku ya uchaguzi ule wa jiwe 2020 iweje waendele na mchakato wao wa kutaka kuwafukuza wale covid 19 ? Si walishafanya maridhiano wawachie tu wamalize ubunge wao kama ambavyo wao wamekubali kupokea iyo ruzuku. ?

Tanzania hakuna vyama vya upinzani wote ni wale wale tu wagangaa njaa.
Halima Mdee na wenzake wameishtaki Chadema mahakamani

Huitaji certificate kuelewa Hili 😄
 
Mbogamboga wamesha changanyikiwa Mwanza KUMEKUCHA....
Kule Mwanza mwenyekiti wa Bodaboda kada wa CCM alitamka "hatutaki maandamano Mwanza maana sisi tuna muunga mkono mama yetu".
Leo Naibu spika kasema bodaboda ni kazi ya hatari izuiwe kuendelea nao watafute kazi zingine.
Sasa nadhani wataelewa somo hawa maamuma na jinsi wanavyotumiwa kipuuzi puuzi!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kumekucha

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Chadema haijapewa Ruzuku na CCM bali imepewa na serikali ikiwa ni halali yao kwa mujibu wa Katiba

Lisu anasema wakati wa maridhiano Kinana aliwaambia tena hiyo ruzuku ni ndogo kwa sababu kura zao nyingi waliwaibia wakati wa Uchaguzi ila walipaswa kupewa zaidi ya hiyo

Nimeikuta clip Huko kwa kamanda Mwaipaya X
Vipi huko Mikumi tembo bado ni wengi? huku kwetu wamepungua sn
 
Kumekucha

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Chadema haijapewa Ruzuku na CCM bali imepewa na serikali ikiwa ni halali yao kwa mujibu wa Katiba

Lisu anasema wakati wa maridhiano Kinana aliwaambia tena hiyo ruzuku ni ndogo kwa sababu kura zao nyingi waliwaibia wakati wa Uchaguzi ila walipaswa kupewa zaidi ya hiyo

Nimeikuta clip Huko kwa kamanda Mwaipaya X
NI HAKI YETU!, "" GAME OF BRIGHT 6 MEN, OVER HUNDRED OF IGNORANT, ACHENI WEREVU WALE NI AKILI NA MAARIFA YAO DHIDI YA NGUMBALO.
IMG_20240205_154058_448.jpg
 
Kumekucha

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Chadema haijapewa Ruzuku na CCM bali imepewa na serikali ikiwa ni halali yao kwa mujibu wa Katiba

Lisu anasema wakati wa maridhiano Kinana aliwaambia tena hiyo ruzuku ni ndogo kwa sababu kura zao nyingi waliwaibia wakati wa Uchaguzi ila walipaswa kupewa zaidi ya hiyo

Nimeikuta clip Huko kwa kamanda Mwaipaya X
Kweli kabisa ni halali yao covid19 wanawakilisha vyema mjengoni!
 
KUPOKEA RUZUKU NI KUKUBALI YA KUWA MNA WANACHAMA WENU BUNGENI, CASE CLOSED, HALIMA MDEE NA WENZAKO CHAPENI KAZI, NINYI NI WANA CHADEMA KAMILI, NA CHAMA KIMECHUKUWA RUZUKU, KWA UWAKILISHI WENU, HAKIMU FUTA KESI MAHAKAMANI, CHADEMA WANAITANIA MAHAKAMA, KUMBE WANACHUKUWA RUZUKU KWA UWAKILISHI ULIOPO BUNGENI.
 
Back
Top Bottom