BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

Huyo mama mh. Zarina shamte madabila hovyo kweli, eti anataka ufugaji wa samaki, tena anasisitiza kwa kusema eti "SAMAKI NI MNYAMA ANAEZAA WATOTO WENGI" Mmh kazi ipo! Anachangia kitu asichokijua huyu!
 
Huyu jamaa anatoa wapi mawazo ya kuandika vitabu. mbona hata hawezi kujieleza, nimemsikia anambwelambwela tu.
 
Hii Mic aliyopo mie simsikii na kamtambo haka hapa kwetu sijui wadau kama mnapata endeleeni kumwaga update nami nivizie mchangiaji mwingine
 
Gerrard sio kwa sababu maamuzi yamekuwa in favour of your Interest (CDM)?Otherwise ni busara njema kafanya Simbachawene kuepusha unnecessary misunderstanding kwa Wabunge wetu.I concur with u.
Sio kufavour my interests. Mbona kasolve pia issue ya Hamad Rashid na Magdalena Sakaya vs Nyambari Nyangwine kirahisi tu. Ushabiki kwenye baadhi ya mambo hauna maana Mkuu, CDM nao ni Watanzania kama ulivyo wewe na Spika Makinda, they deserve respect panapohitajika. Sio jazba za Mbunge wangu Makinda
 
Aibu sana kwa huyu mzee,heshima yake anaipoteza kadiri siku zinavyokwenda,hajui kipi atete taalum yake au chama shame on him,kuna mwingine anaendelea kuongea utumbo mtupu,baba wa taifa alisema kuna watu wanapoongea kwenye hadhara ndio unakuwa muda wa kwenda kuvuta sigara wakati unasubiri mtu makini aje aongee
 
Kimsingi yeye anajua kiswahili,hvyo vingne kavinunua kwa wadau wengne kiaina na kuviuza kwa jina lake...
 
Hna maana zaidi ya kuuza sura,anampongeza kikwete,eti kafanya nini la maana?nielewisheni
 
Mbunge wa CCM David Silinde Akitolea uvivu chama chake asema mpango wa Maendeleo wa 2011/12 - 2015/16 ni changa la macho haiwezekani kutekelezeka, asema inakuwaje wenzake hawasomi alama za Nyakati.Kapigwa stop na Mwenzie kwa mwongozo kuwa kapotosha kuwa maelezo aliyoyatoa yanalenga kuupotosha Umaa, Duuhh Hii kali baadhi ya wabunge wanashabikia ati CCMApaza sauti upya na kudai haitaki taarifa hiyo kwa kuwa imelenga kujipatia ujiko kwa mbunge aliyempiga stop bila kufuatilia kwa umakini alichokisema.Inafurahisha kuona kama wabunge hakuna kulemba bendera za vyama ni hoja tu.
David Silinde- Mbunge wa Mbozi Magharibi kupitia CHADEMA. hebu edit hiyo post yao!
 
Gerrard sio kwa sababu maamuzi yamekuwa in favour of your Interest (CDM)?Otherwise ni busara njema kafanya Simbachawene kuepusha unnecessary misunderstanding kwa Wabunge wetu.I concur with u.
Sio kwa maslah yoyote,kamtetea na Nyambari pia..Nimemkubali.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Lazima mwenyekiti akumbushwe juu ya hilo.ndio maana mbunge wa kasulu mjini Moses Machalli kijana zao la SAUT 2008 kaomba muongozo wa mwenyekiti,so hope kitaeleweka 2 am sure mwnyekiti SIMBACHAWENE hawezi kuyayusha,maana kwa haraka haraka inaonekana anaongoza mijadala bila kuegemea upande wowote
 
Huyu jamaa anatoa wapi mawazo ya kuandika vitabu. mbona hata hawezi kujieleza, nimemsikia anambwelambwela tu.
Hasara na janga kubwa kwa Taifa. Anajiumauma huku anawauzia wadogo zetu vitabu vyake. Labda ndio maana hata failures zimekuwa nyingi zaidi
 
Uandishi wa Vitabu kwa watu wasiomakini hufanya Piracy ya mawazo ya wengine...then hudaka umaarufu
 
Huyu jamaa ni hopeless sijapata ona tokea tupate uhuru...hawezi hata kuunda sentensi1?kama siyo genius basi ni poorest!naamini kabisa mbunge1 wa CDM =wabunge5 wa CCM...I guess bungeni,Nyambari ni pwoyoyo!
 
Mama anataka kuchakachua hoja ya posho kwa kuwaunganisha watendaji ati lazima ziendelee...Anafuata mayegela...Lyatonga on cue stay on line
 
Back
Top Bottom