BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

Duh: Nyambari nyangwine anaibuka na kuwakaripia wanasiasa wote wanokwenda Tarime wakome mchezo huo, sasa hili na mpango wa maendeleo viahusiana nini au ndio dongo kwa Tundu Lissu na Jeshi la wanaukombozi wa CDM.
 
Nimefurahishwa sana na Mheshimiwa Silinde alivyoibana Serikali kuhusu Mipango mingi ambayo imekuwa nayo toka tupate Uhuru hadi sasa .Mpango wa sasa wa miaka minne wataka kufanikisha mambo ambayo yameshindikana kwa miaka 50!
 
Nimelazimika kumkubali Mh. Mbunge wa Kibakwe (CCM) ambaye ndie mwenyekiti wa Bunge katika kikao cha leo. Mgogoro ulianza baada ya mbunge mmoja wa CCM (Simkumbuki) kuomba mwongozo akidai David Silinde amedanganya kwamba CCM haijafanya chochote jambo lililoelekea kuibua mgogoro kama ule wa Wenje na CCM. Busara ya Mwenyekiti ni kwamba Silinde amejenga hoja vizuri akaeleza ni kwanini anaamini aliyoyasema. Ndipo Mbunge wa CCM akakubali na kukaa kimya. Anna Makinda hawezi kujifunza hata kidogo kuchota busara kutoka kwa watu kama kina Simbachawene?
 
Kaambiwa apunguze Jazba za kuanza kutaja vyama kwa kuwa mpango huo umewasilishwa kwa masilahi ya Taifa na si chama cha Mapinduzi

Duh kagomea kupokea Taarifa kuwa ati umewasilishwa na serikali ya Chama cha mapinduzi.

Sakaya kampiga stop muongozo tena

afute kauli kuwa mpango ni wa serikali yote na si chama cha mapinduzi

Mwenyekiti Simba chawene kambeba

Muongozo tena

Duuh kali leo

TBC nayo sauti kichefuchefu hata maneno mengine hatusikii, inaelekea baadhi ya Mic mjengoni zina dosari kidogo
 
Katibu wa Bunge kautolea muongozo Taarifa kuwa umetolewa na serikali inayoongozwa na chama cha Mapinduzi

Mwenyekiti kapeta, mjadala unaendelea
 
Mbunge wa CCM David Silinde Akitolea uvivu chama chake asema mpango wa Maendeleo wa 2011/12 - 2015/16 ni changa la macho haiwezekani kutekelezeka, asema inakuwaje wenzake hawasomi alama za Nyakati.

Kapigwa stop na Mwenzie kwa mwongozo kuwa kapotosha kuwa maelezo aliyoyatoa yanalenga kuupotosha Umaa, Duuhh Hii kali baadhi ya wabunge wanashabikia ati CCM


Apaza sauti upya na kudai haitaki taarifa hiyo kwa kuwa imelenga kujipatia ujiko kwa mbunge aliyempiga stop bila kufuatilia kwa umakini alichokisema.

Inafurahisha kuona kama wabunge hakuna kulemba bendera za vyama ni hoja tu.
mkuu huyu ni MBUNGE WA CHADEMA MBOZI!
SI WA CCM KAMA ULIVYOANDIKA!
 
Kaingia sekta ya madini, kwingine hakuna jipya...Ngoja tusikie hapa kulipozua sekeseke NORTH MARA
 
Mheshimiwa huyu sijui anafanya nini Bungeni...ati anawaonya wabunge wastop kufika Tarime. Kauli yake tata kuhusu umiliki wa Mpango wa maendeleo umezua mtafaruku mkali pale aliposema ni wa CCM. Wabunge walimtaka abatilishe kauli kwa kuwa huu ni mpango wa Taifa! Kwa kuwa mwenyekiti wa Bunge ni wa CCM amaetumia ubabe mkubwa kuwazuia wabunge waliotaka kubatilishwa kwa kauli ya Nyangwine. Baada ya Hapo Nyangwine kaendelea kuongea utumbo tu....
 
Kaambiwa apunguze Jazba za kuanza kutaja vyama kwa kuwa mpango huo umewasilishwa kwa masilahi ya Taifa na si chama cha Mapinduzi

Duh kagomea kupokea Taarifa kuwa ati umewasilishwa na serikali ya Chama cha mapinduzi.


Sakaya kampiga stop muongozo tena

afute kauli kuwa mpango ni wa serikali yote na si chama cha mapinduzi

Mwenyekiti Simba chawene kambeba

Muongozo tena

Duuh kali leo

TBC nayo sauti kichefuchefu hata maneno mengine hatusikii, inaelekea baadhi ya Mic mjengoni zina dosari kidogo


Tayari magamba wameshopoteza nework. Tarime watakuja, watakuja, yeye asiende watamnanihii. Ila Mkukuta unashitukiwa katikati Duuh, hii nchi tuna vichwa vya ajabu.
 
Kama mwangaliaji au ulishafika Berlin, utajua kuwa huo ni mnara wa Malaika gani sijui, sijawahi kufuatilia na ukismama hapo, kuna kinjia kimenyooka moja kwa moja hadi kwenye LANGO la Berlin ambalo zamani ukuta ulipita na mita chache kutoka langoni, ndiyo lipo Bunge la German......

Ukiangalia vivuli vya watu, unaweza kutabiri ilikuwa ni mida ya saa ngapi..... Sasa labda aje Fisadi fulani mwenye akili zimepinda na aseme kuwa katika nchi ambazo hazijaendelea, German wapo na ndiyo maana wanaandamana mchana na wao. Au ilikuwa usiku?

Hapa wanapinga Vinu vya kuzalisha umeme wa Nyuklia...... Chini kabisa ni JAPAN.

img_606X341_2805-Deutschland-anti-ANTINUCLEAR.jpg


anti-gmo-demonstration-makuhari-japan.JPG
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Anakiri wawekezaji wa NORTH MARA ni waongo na walidanganya Taifa...

Anatoa rai kwa serikali kuweka uzalendo katika mikataba na kuwa iwanufaishe wanatarime na si utaratiu uliopo sasa ambao inawanyima fursa wachimbaji wadogo wadogo

Anatoa elekezo kuwaendeleza wachimbaji wadogo wadogo kwa kupewa Nyenzo na Vifaa vingine Muhimu pia elimu, na anajijibu kwa kuwa ni eneo lake atashughulika nalo mwenyewe...Sijui atatoa vitabu ama nini...

Tunaendelea
 
Mbunge wa CCM David Silinde Akitolea uvivu chama chake asema mpango wa Maendeleo wa 2011/12 - 2015/16 ni changa la macho haiwezekani kutekelezeka, asema inakuwaje wenzake hawasomi alama za Nyakati.Kapigwa stop na Mwenzie kwa mwongozo kuwa kapotosha kuwa maelezo aliyoyatoa yanalenga kuupotosha Umaa, Duuhh Hii kali baadhi ya wabunge wanashabikia ati CCMApaza sauti upya na kudai haitaki taarifa hiyo kwa kuwa imelenga kujipatia ujiko kwa mbunge aliyempiga stop bila kufuatilia kwa umakini alichokisema.Inafurahisha kuona kama wabunge hakuna kulemba bendera za vyama ni hoja tu.
Wewe Silinde ni CDM.
 
Back
Top Bottom