MWANALUGALI
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 601
- 34
MCHANGANUA WA VITI MAALUM CCM NI KAMA HUU UFUATAO:
viongozi wakuu uwt NAFASI 2..katibu na mwenyekiti wanaingia kwa nafasi zao.
mikoa yote tz bara na visiwani mikoa 29 nafasi mbili kila mkoa....kazi yao kubwakuwakilisha na kuhakikisha wanainua wakina mama wenzao wengi tumeshaona michango yao kwa wanawake japo wengine ni wazembe..
wasomi 3
NGO 2
walemavu 3
wafanyakazi 2
vijana wanawake 10
kapu 20
wadau bila hivi bunge litakuwa na wanaume karibu asilimia 90.....halitanoga....................miaka ya mbele huko wanawake wakiwazidi wanaume tutaomba pia viti maalum kwa kina baba...........ili tulete usawa...wanawake wanaweza wakiwezeshwa..wapewe nafasi.
Hiki si ndiyo kile chama cha wakulima na wafanyakazi????? Mbona hakuna viti maalum kwa Wakulima? au taarifa yako siyo sahihi naomba unizuje tafadhali.