Bunge lijalo ni full skendo za ngono...

MCHANGANUA WA VITI MAALUM CCM NI KAMA HUU UFUATAO:

viongozi wakuu uwt NAFASI 2..katibu na mwenyekiti wanaingia kwa nafasi zao.
mikoa yote tz bara na visiwani mikoa 29 nafasi mbili kila mkoa....kazi yao kubwakuwakilisha na kuhakikisha wanainua wakina mama wenzao wengi tumeshaona michango yao kwa wanawake japo wengine ni wazembe..
wasomi 3
NGO 2
walemavu 3
wafanyakazi 2
vijana wanawake 10
kapu 20
wadau bila hivi bunge litakuwa na wanaume karibu asilimia 90.....halitanoga....................miaka ya mbele huko wanawake wakiwazidi wanaume tutaomba pia viti maalum kwa kina baba...........ili tulete usawa...wanawake wanaweza wakiwezeshwa..wapewe nafasi.

Hiki si ndiyo kile chama cha wakulima na wafanyakazi????? Mbona hakuna viti maalum kwa Wakulima? au taarifa yako siyo sahihi naomba unizuje tafadhali.
 
Ni nyie ndio mtalipa hiyo mishahara na bonus za mamilioni bila kusahau mashangingi mapya na za vikao maalum,vipi bongofleva nao nasikia wana kiti kimoja kwa kazi nzuri wanayofanya...kazi ipo:confused2:
 
wabunge 100 wa kuteuliwa??? hii naona inapoteza maana nzima ya demokrasi na uchaguzi,inasikitisha zaidi ukiangalia hawa wabunge wa kuteuliwa wanachofanya na faida zake na jinsi wanavyolitia gharama Taifa,wabunge landcrusiser 100 mpya ongeza na millios of salary,bonus,safari etc nina uhakika ukiangalia hard numbers(money) kwa miaka mitano wanayowakilisha inaweza kufika trillion...naomba anayejua mishahara na malipo yote tunayowalipa awekehapa tuangalia wanatucost ngapi labda watu wanaweza kuelewa hii hasara ya wabunge wa kuteuliwa....
 
Wana JF mimi bado naona kuwa na wabunge wa viti maalum 100 toka chamam kimoja , bado vyama vingine. Hii inaondoa maana ya kuwa wawakilishi wa kuchaguliwa. To me it does not make sense. Kama ni uwakilishi labda wasizidi 50 kwa vyama vyote, kama kuna haja ya kuwa na wabunge wengi zaidi waongeze majimbo na nia ya kuongeza kin mama wengine basi wahamasishwe kugombea kwenye majimbo na vyama pia vipendekeze kinamama kwa upendeleo katika kugombea majimbo.
Kwa maoni yangu maana ya bunge kuwa na watu waliochaguliwa na wananchi itakuwa inaaapotea badala yake kutakuwa na wabunge wengi ambao hawana mandate ya wananchi ila chama na hasa chama tawala.
Pili hawa wanawake na kwa kupewa nafasi za upendeleo kiasi hicho ni KUDHALILISHWA KWAMBA HAWANA UWEZO, mpaka wapendelewe kwa kupewa bure, na ukitoa ngono kwa viongozi wa kisiasa utakuwa na uhakika wa kuwa mbunge wa viti maalum

hapo kwenye RED umenikuna mkuu.............nashangaa kuwa hao wanawake wanaochaguliwa kwa nafasi za upendeleo hawapigii kelele hili kuwa ni sawa na kudhalilishwa.
tunataka wanwake wenye uwezo wa kushindana na mwanamme bungeni na sehemu nyengine sio apewe tu nafasi kwa kuwa kazaliwa mwanamke.


wanawake hebu tuamke ...............vitu vyengine aibu. kama huwezi kushindana na mwanamme jimboni means huna uwezo wa kutuwakilisha. kaa nyumbani usende bungeni
 
Haina tatizo wabunge kuwa vijana ila nadhani experience zao ndo zinatutia wasiwasi...Zitto aliingia bungeni akiwa kijana ila alikuwa na experience ya kutosha tu na tumejionea aliyoaccomplish, the same kwa Halima Mdee.
 
some one please help!

hivi kundi la KAPU huwa ni lipi, linamaanisha nini, linamwakilisha nani, na wanapatikanaje? manake nimeona wapo takriban 18 katika wale 100 wa CCM peke yake?
 
sipendi kuwa pessimistic lakini siasa za nchi hii
unajikuta mtu unakuwa pessimistic hata kama ulizaliwa
by nature optimistic kind of person.........

Nimetazama hao wabunge watarajiwa nikakosa cha kusema....

Ni kama miss tanzania imehamia kwenye bunge.......

I mean hilo kundi la vijana,na kundi la kapu sijui na kundi la
vyuo ........ukichanganya na viti maalum........

Mmoja wa hao wabunge watarajiwa anaitwa catherine magige
tayari leo hii ameshaanza andikwa na magazeti ya udaku........

Nilisema na narudia kusema hivi viti maalum tuvipige vita mpaka vifutwe.......

Kwa kweli magazeti ya udaku yatahamia dodoma.....

Na hilo bunge skendo za ngono zitakuwa ni kila siku........

Hivi kuna haja kweli ya kuwa na wasichana umri wa miaka 21-25
wawe wabunge wa viti maalum?????

Wengine bado wa anaishi na wazazi wao halafu waende bungeni

wawe waheshimiwa....wanamwakilisha nani??????????


I am more than dissapointed na hii nchi..........

Hivi wenye kufikiri straight hakuna kabisa?????????????

tehe tehe. Viti maalum kwa watu maalum. Baada ya maswalina majibu lazima waheshimiwa sana wapate mapoozeo. Hivyo ni viburudisho vyao.
 
Nashauri wabunge vijana wa Chadema wawafanyizie/wawashone wabunge warembo wa magamba (viti maalumu) coz wapo pasipo kazi bungeni!
 
imekula kwenu hiyo wabunge wanawake wa ccm wana uwezo na wana hoja kali mfano halisi ni easter bulaya.me namkubali sana na wengineo wengi tu.
 
kuna baadhi ya nchi kuwa mbunge lazima uwe na umri wa zaidi ya miaka 30.

pia wameweka vikwazo vyengine vingi............kama uwe hujawahi kuhusika na scandal hasa za ngono. kwetu hamna sheria hizo?

kwa hilo watazushiwa wengi.. ili mradi wasiingie mjengoni, kama wabisha rejea ile ishu ya mrema na ile dk slaa iliyokuwa juu wakati anagombea, baada ya uchaguzi imeisha
 
Napinga hoja viti maalumu bado ni muhimu sana kwa demokrasia za nchii hii ambayo imekuwa ikitawaliwa na mfumo dume tangu uhuru. Isipokuwa nafikiri tungejadili ni vigezo gani vitumike kuwapata hawa wabunge na majukumu yao ndani na nje ya bunge yawekwe wazi. Tanzania tumepata sifa nzuri sana barani Afrika na kwingineko kwa mliganyo wa wanawake na wanaume bungeni.

Jamani tusiwaonee wivu waacheni walio baatika wale hii keki ya taifa. Kwani hata ivo majukumu yao ni mazito sana. Je wewe upo tayari kuongelewa sikioni??
 
MBUNGE.jpg
 
<a href="http://3.bp.blogspot.com/_Ahce4J-nOBk/TU_mrtlTGII/AAAAAAAAARA/eOhLmvoaMgI/s1600/fullstory.jpg" target="_blank"><img src="http://3.bp.blogspot.com/_Ahce4J-nOBk/TU_mrtlTGII/AAAAAAAAARA/eOhLmvoaMgI/s320/fullstory.jpg" border="0" alt="" /></a>
<br />
<br />
Kilichobaki ni wabunge vijana wa CDM wachapakazi kuanza kuwafanyia kweli wale viti maalum wa CCM, kwa mwendo huo lazima wawaunge hoja wapinzani katika miswaada yao teh teh teh!
 
Sipendi kuwa pessimistic lakini siasa za nchi hii
unajikuta mtu unakuwa pessimistic hata kama ulizaliwa
by nature optimistic kind of person.........

Nimetazama hao wabunge watarajiwa nikakosa cha kusema....

Ni kama miss tanzania imehamia kwenye bunge.......

I mean hilo kundi la vijana,na kundi la kapu sijui na kundi la
vyuo ........ukichanganya na viti maalum........

Mmoja wa hao wabunge watarajiwa anaitwa catherine magige
tayari leo hii ameshaanza andikwa na magazeti ya udaku........

Nilisema na narudia kusema hivi viti maalum tuvipige vita mpaka vifutwe.......

Kwa kweli magazeti ya udaku yatahamia dodoma.....

Na hilo bunge skendo za ngono zitakuwa ni kila siku........

Hivi kuna haja kweli ya kuwa na wasichana umri wa miaka 21-25
wawe wabunge wa viti maalum?????

Wengine bado wa anaishi na wazazi wao halafu waende bungeni

wawe waheshimiwa....wanamwakilisha nani??????????


I am more than dissapointed na hii nchi..........

Hivi wenye kufikiri straight hakuna kabisa?????????????
Sio vijana tu peke yao ndugu,hata watu wazima wapo wanaofanya hayo mambo bungeni sio vijana peke yao.
Kwa dunia ya sasa hivi hayo mambo yapo kwa kila umri.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom