Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Hahahahaha..ukiambiwa una akili za KI CCM pigana aiseee

hahahahahah

upload_2017-11-1_17-47-58.png
 
Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;

Hata hivyo;

Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Hahahahaha ,mkuu imebidi nicheke tu.......maana mtu kajiuzuru lakini imekua kafukuzwa.......duuuu hii sasa kali
 
Halafu spika kasahau alivomkumbatia Zitto baada ya kufukuzwa CDM mpk akamaliza ubunge, leo ccm wamepeleka barua anakimbilia kutengua ubunge. aibu yao bunge.
 
Nasikia siku za mwisho wadau tutajielekeza kwa maulana ili kujitakasa madhambi yetu ready kuingia peponi,,,, leo hii naona madhambi yanazidi kuwatafuna wana ccm na taratiiibu wote watabamia CDM kujitakasa na kuomba msamaha kwa wananchi!
Mi simo ila........pongezi kwa Nyarandu.
 
huwa najiuliza ccm inawezaje kuendelea kutawala ikiwa akili zao ni kama hizi za akina ndugai:(:(:(
nyalandu katikisa lumumba nzima
 
huwa najiuliza ccm inawezaje kuendelea kutawala ikiwa akili zao ni kama hizi za akina ndugai:(:(:(
nyalandu katikisa lumumba nzima
Hapa nadhani sisi tunaotawaliwa ndio tuna akili ndogo zaidi na ndo mana ccm wanatuoutsmart. Ipo haja ya kuweka mkakati wa maskudi wa kuwachomoa.
 
Walimuhoji kwa hasira baada ya kwenda Nairobi au alienda Nairobi kwa hasira baada ya kuhojiwa?

Kwanza tusiunganishe Uzi huu na mwingine,

Hapa tuangalie hasa ni nini kimesababisha kufukuzwa kama wanavyosema,

Maana ye kasema amejiuzulu katoa na sababu


Kuna ukweli wowote kuwa walimuhoji kabla?


Alafu alijiuzuru kienyeji mno kwenye whatsap?? Bila kuita vyombo vya habari,

Hii inashangaza
 
Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;

Hata hivyo;

Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Hiyo ni historia ya CCM. Tunajua mchakato wa kumfukuza mtu uanachama. hivi ishu ya Nyalandu ni nzito kuliko ya akina Sofia Simba? lakini picha ya sofia Simba tuliiona wote na kuifuatilia mpaka maamuzi ya mwisho kutangazwa. lakini hii ya Nyalandu ni geresha tu. Yaani mtu unaingiliwa na majambazi, wanaiba na kuondoka na fedha, halafu unasema hakuna walichochukua?
 
Elimu ,Elimu ,Elimu...Kwa mujibu wa sheria barua ikiwekwa tu /ikipostiwa tu kwa anuani sahihi ya mpelekewa mara hiyo hiyo inahesabika barua imeshamfikia mlengwa. Kuchelewa kwa messenger au mpokea barua kwenda posta kuchukua barua hakufanyi barua hiyo iwe haijamfikia mlengwa.

Barua yoyote itakayopelekwa kwa mkono au njia yoyote kwa mlengwa muda /siku za mbele baada ya ile iliyotumwa posta kutumwa hata kama itafika mapema kabla ya ile ya posta, barua inayohesabika kufika mapema ni ile iliyopostiwa mwanzo.

CCM wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.
 
Alijua kuwa ndani ya siku mbili hizi anatimuliwa ndani ya Ccm Ndio maana akajitanguliza kujiuzuru ili ionekane ameondoka mwenyewe, alishatonywa kuwa ndugu mpango wa kutimuliwa umeiva.
 
Back
Top Bottom