Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,271
- 2,025
Ni Jambo la kushangaza kwa Chama cha Mapinduzi CCM Kumteua Daniel Chongolo aliyekuwa KATIBU MKUU wa CCM aliyejiuzulu kwa KASHFA ziliyozagaa ktk VYOMBO mbalimbali vya Habari.
Ni wazi CCM iliziamini zile TUHUMA na ndio maana ilikubali Barua ya Bw.CHONGOLO ya KUJIULUZU Na kama isingeziamini basi CCM ilikuwa na Machaguo mawili KUMKATALIA KUJIUZULU au KUUNDA TUME ya Kumchunguza.CCM haikuyafanya hayo yote mawili bali ilimteua Naibu Katibu Mkuu na Kisha KATIBU MKUU.
Leo CHONGOLO Ameteuliwa kuwa MKUU wa Mkoa wa Songwe huku Watanzania bado tunajiuliza juu ya zile TUHUMA zake.
Kwanini ATEULIWE Mtu aliyetoka KUJIUZULU kwa Tuhuma zile za AIBU bila Chama chake KUMSAFISHA? CCM Kama ilikuwa bado inamhitaji Bw.CHONGOLO basi ilipaswa IUNDE Tume ipewe dondoo inazozitaka CCM ije na Majibu ya Kumsafisha. na kuwatangazia Wananchi.
Huyu ni Kiongozi wa pili ANATEULIWA huku Wananchi Wakimtuhumu kwa Matendo yake Kiongozi huyo ni MAKONDA huyu aliwahi kutumia Madaraka yake Vibaya kwa kuvamia Kituo cha Televisheni cha CLOUDS wakati wa Utawala wa MAGUFULI lakini Awamu hii Ameteuliwa kuwa Mwenezi wa Ccm.