Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
SWALI MAHSUSI: Je,CCM walimcopy au kumuandikia barua ya kupoteza ubunge mhe Lazaro Nyarandu?
 
wamechelewa sana, sisi wananchi wa jimboni kwake tunaamini amejiuzuru hayo yote yanayoendelea ni kumpaka matope mh. wetu. Bado tuna imani naye na tutamchagua tena hata akihamia chama chochote cha siasa tutahama naye
 
hebu yakurupusheni na mengine yaliyobaki huku...kina chenge,ngeleja,tibaijuka,mwakyembe,magu alieuza nyumba za serikali na kivuko kibovu +uwanja wa chato.Hebu yatimueni fasta fasta fastaaaa
kina kikwete kina mkapa..hebu yatimueni majizi haraka sana

hahahahahhaa...CCM akili zenu MB 8 kulaleki
.
Hapana ni kb 8
Na spika ni zero yaani zungusha!!
 
View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
yule jamaa aliyesema huyo ni mwanachama wa kawaida tu kwenye press comference alikuwa hajui hili au nae ndoo analipata kupitia jf...mzee wa mwendo pole !!
 
Mapya kabisa haya kwangu. Kuona au kusikia mtu anafukuzwa siku 3 baada ya kurudisha kadi na kujiunga chama kingine. Sitaki kumfundisha kazi spika ila ingelikuwa ni mimi ningeliwaambia hao walioleta barua kuwa tiyari nimeshaelezwa habari za mhusika na kuwa amejiuzulu na kuondoka chamani. Hivyo, anaipokea tu taarifa yao.
 
CCM walikua mabingwa wa propaganda ila kwa sasa habari yao imefika mwisho walishindwa kushtuka mapema kabla Nyalandu hajafanya uharibifu matokeo yake wanaziba tundu la panya kwa mkate,Polepole ni kiongozi wa ovyo sana hawezi hata kutumia akili yake vizuri kwenye ili amedhihirisha uzwazwa wake ni heri angekaa kimya.
 
Yakitokea wapi? Ukijibu hapa ndio nitaanza kupima kiasi cha mgando uliyomo kwenye medulla.
Hata Leo niliposikia kauli ya 'mtukufu' magogoni akisema majizi yanakimbilia chadema nikacheka mwenye na kujisemea, kumbe kweli ccm kuna majizi!
 
huyu spika wa bunge binafsi namshangaa sana nilimsikia kwa masiio yangu akisema ajui olote kuhusu Nyalandu sasa hayo ya barua ya kufukuzwa yametoka wapi?
 
Lakini jambo jingine la kuchekesha ni kwamba hata raisi ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha makinikia wazi wanakimbilia chadema. Sasa kama wanakinbilia chadema barua ya kumfuta uanachama ya mini wakati kaondoka mwenyewe. Kweli huu ni ukoo wa panya!
 
Hiyo barua iliyosainiwa na "KATIBU MKUU" wa CCM iko wapi, na imesainiwa na Katibu Mkuu yupi??? Yaani nchi inaongozwa na mtu Mwongo, Bunge linaongozwa na Mwongo, Mahakama inaongozwa na mtu mwongo....yaani ni UWONGO UWONGO UWONGO TUUUUUUUUUUUUUUUUU Dar mpaka Chato...ban ruksa dadeki:p:p
 
Kwa hiki kituko kweli Nyalandu alistahili kujivua ubunge na uanachama wa CCM. Hamna spika wala chama humo!
 
Back
Top Bottom