Akikujibu mkuu please tushirikishane ilo jibuYakitokea wapi? Ukijibu hapa ndio nitaanza kupima kiasi cha mgando uliyomo kwenye medulla.
Akikujibu mkuu please tushirikishane ilo jibuYakitokea wapi? Ukijibu hapa ndio nitaanza kupima kiasi cha mgando uliyomo kwenye medulla.
CCM 90% ni wajinga wajinga ndiyo maana wakamteua Bashite Maliyamungu kuwa mshauri mkuu wa Mtukufu malaika wa chato cha ajabu Bashite na yy kamteua le mutuz kubwa jinga pamoja na Jerry Muro mvuta Bangi kuwa mshauri wake, yaani Mtukufu anashauriwa na mtu asiye na vyeti huku huyo kilaza akishauriwa na kubwa jinga le mutuz unategemea nini?
vipi amejibu ??
Alietamgulia kutoa tamko ni Chama au Nyalandu? Kwetu historia imetengenezwa na Nyalandu kuikacha CCM.Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;
Hata hivyo;
Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Kabla hujalala angalia hii
Si uanzishe uzi wako?? Yani nyie akili zenu zinafanana kweli. Sasa hapa unaona ni sehem inayofaa pachika hiyo barua?
halafu ccm hata kama imemfukuza mwanachama mmoja lazima kuna wengine watapewa onyo/karipio kali.Hii ndo kudhalilisha chama tukaonekana wote hatuna akili,
kwanza tangu lini ccm ikafukuza kwa faster hivyo bila hata kukaa vikao?,
sasa tumefikia hatua ya kugushi hadi barua
Nina uhakika kabisa hizi ni akili za Mwenyekiti wao...full of surprises....ndo maana juzi Ndugai aliwaka saana....If your brain stop to work try to use better your ass
Hapo ndipo panapoumiza. Kuna kila dalili kuwa hii nchi tumewaachia wajinga watuongoze. Kwakweli tusitegemee la ziada. Mbaya zaidi kitakwimu wala hawapo wengi, ila wanatuyumbisha kweli. Wah!CCM 90% ni wajinga wajinga ndiyo maana wakamteua Bashite Maliyamungu kuwa mshauri mkuu wa Mtukufu malaika wa chato cha ajabu Bashite na yy kamteua le mutuz kubwa jinga pamoja na Jerry Muro mvuta Bangi kuwa mshauri wake, yaani Mtukufu anashauriwa na mtu asiye na vyeti huku huyo kilaza akishauriwa na kubwa jinga le mutuz unategemea nini?
Yako mengi tu huko yanakotokea. Liko jizi lililogawia washikaji nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu, nalo linasubiriwa.MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Polepole alisema Spika wa Bunge ni mshauri wa CCM hivyo asingeweza kuikubali barua ya Nyalandu kabla ya maelekezo toka ccm.View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Thread hii imejibu yote.Polepole amekiri kuwa Nyalandu amehama CCM,na anamshangaaJuzi Polepole alisema "....kuhama kwa Nyalandu sio jambo geni.....ni afya ya siasa..." Polepole says Nyalandu is insignificant
...na kisha akasema tena "....namshangaa Nyalandu kuhama CCM chenye itikadi ya Ujamaa na kwenda CHADEMA kisicho na itikadi...."
Spika Ndugai anadhalilisha Bunge na kiti cha u-Spika, Ofisi ya Bunge imekuwa kama Tawi la Wakereketwa wa CCM Kizota. Wabunge mwajibisheni huyo ili msizidi kudhalilika.
Yanatokea academy gani?MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA