Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Hapa hata mtu asiye na akili atakwambia huu ni utoto..

Nimekumbuka kipindi unamtamkia mchumba wako kwamba umemuacha, analalamika,analia halafu baada ya siku mbili kuisha anakutumia ujumbe mfupi anakutaarifu hata yeye pia alishafikiria kukuacha muda mrefu sana!

Kwa lugha nyepesi hiki ni kichekesho tena cha kuvunja mbavu!

Hongera Lazaro Nyalandu, umewashika sawasawa!

hahahahah..Sikuadhani kuwa nyalandu anaweza kuwashika hivi..he used to be a silent Guy ..always
 
Hapa Spika, Bunge na CCM wote wamejamba hadharani.

Kuna msemo unasema CHIZI akikaa kimya huonekana ana Busara/Mwerevu. Response ya CCM/Spika kwenye hii issue imetudhihirishia Watanzania mchana kweupe kuwa tunaongozwa na wenye akili ndogo. Ndugu zangu watanzania, Kuendelea kuiacha akili ndogo itawale/iongoze akili kubwa ni ku-invite a Manace to our Society.

Hima mtanzania, Amka kumekucha hawajamaa wameshachoka kufikiria na wamepoteza sifa kuongoza watanzania.

Hivi kweli enzi za Mwalimu tungeona hizi salakasi za kitoto?? Shame on!!!
 
Ningekuwa mie ndo chief Strategist wa sisiemu, ningewashauri wakae kimya issue yote hii.. Hivi wanavyozidi kuja na haya ndo wanazidi kujidhalilisha na kujivua nguo..

Ila ndo hivyo.. Unategemea nini toka Chama ambacho strategists wao ni aina ya akina Le mutuz, polepole, muro..
 
Issue ya Nyalandu mbona inawawasha sana mafisiemu wakati wanamkandia na kusema yeye si lolote na si chochote?
Nyalandu ni mtu mwenye haiba sana katika jamii ya kitanzania na kimataifa kwa hiyo ni lazima chama chake na serikali vitikisike!
 
hahahaha..yapi hayo..haya yaliyokuwa highlighted hapa..kwamba CCM ilikuwa inachukizwa na kauli zake...na kumbe sio ufisadi wake...hahahhahahaahah...akili zenu hakuna aiseee

View attachment 621955
Usikurupuke kijana, angalia katika hayo uliyohiglight kuna "Vitendo", meaning ufisadi included; sasa utakua umeelewa kilichoandikwa hapo. Au wewe ulitaka iandikwe ufisadi moja kwa moja??
 
Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;

Hata hivyo;

Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Mwenyekiti mpaka anakoboa shudu zake kule kwa wala sangara, alikuwa na taarifa ya hiyo barua ya chama? Kama alikuwa nayo na (ninavyomjua mimi) kwanini aliishia kulia lia kuwa Majizi ndio yanakimbilia chadema, kuliko kusema alishatimuliwa muda mrefu?
 
Hapa Spika, Bunge na CCM wote wamejamba hadharani.

Handling ya suala hili ndio imetudhibitishia kuwa tunaongozwa wa akili ndogo. Kuendelea kuiacha akili ndogo itawale/iongoze akili kubwa ni ku-invite a Manace to Society.

Hima mtanzania, Amka kumekucha hawajamaa wameshachoka kufikiria na wamepoteza sifa kuongoza watanzania. Hivi kweli enzi za Mwalimu tungeona hizi salakasi za kitoto?? Shame on!!!
hahahahha..mkuu ....ni hatari sana
hata siamini watu wanaweza kujichanganya kiasi hiki
Msemaji mara oooh...nyalandu amekosea kuhama
leo ooooh....tumemfukuza
 
Mwenyekiti mpaka anakoboa shudu zake kule kwa wala sangara, alikuwa na taarifa ya hiyo barua ya chama? Kama alikuwa nayo na (ninavyomjua mimi) kwanini aliishia kulia lia kuwa Majizi ndio yanakimbilia chadema, kuliko kusema alishatimuliwa muda mrefu?
CCM ndio mwalimu wa siasa hapa nchini na Afrika kwa ujumla wake kumbuka hilo.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Usikurupuke kijana, angalia katika hayo uliyohiglight kuna "Vitendo", meaning ufisadi included; sasa utakua umeelewa kilichoandikwa hapo. Au wewe ulitaka iandikwe ufisadi moja kwa moja??
hahahahhaa...aisee Nyalandu kawakamata mkashikika.
kwani mnaogopa kuandika ufisadi moja kwa moja? au kwa sababu Sizonje naye ni bonge la fisadi...isipokuwa mtasema hivyo akihamia CHADEMA tu...hahahhaha
Alafu Mbona Msemaji wenu alisema anashangaa Nyalandu KUHAMA chama
au mlikuwa ambushed na bado hamkuwa mmewaza vizuri>?
 
Na yule Spika aliyekua anam ng'ang'ania Nyalandu kuwa bado anamtambua kuwa ni mbunge halali ni nani? Na je, Spika ndiye msemaji wa CCM siku hizi? Maana msemaji wa CCM tulimsikia akisikitika na mwenyekiti wao tukamsikia akipondea sasa huyu Spika ndiyo kaleta vituka vya kufungia mwaka, kwamba Nyalandu kafukuzwa hajajiuzuru.
 
CCM hata kama ilikuwa haijamfukuza Nyalandu ina uwezo wa kurudisha muda nyuma, kumfukuza huko nyuma, halafu kuurudisha muda mbele tena iwe ilimfukuza huko nyuma.

Hiyo ndiyo nguvu ya CCM.
hahahahah..Yaani wanaweza ku back date hata hiyo barua ikasomeka walishamfukuza tangu mwaka 1999

Hahahhaha.Kwa kweli Bongo tumepatikana

Hivi hawa watu wammeshaacha kabisa kufikiria
 
Naona barua ya bunge ikisema ccm ilishamwandikia mheshimiwa Nyarandu tarehe 30 mwezi huu barua ya onyo na kuanzia tarehe hiyo alipoteza sifa ya kuwa mbunge hapa magreat thinker watajiuliza na jibu ni kuwa nyarandu aliwawahi na ili kuficha aibu hii wameona waje na zilipendwa hii.
 
Back
Top Bottom