Bidada yuko right....sasa hivi hamna dawa mahususi ya kutibu malaria.....hii dawa mseto ni balaa balaa mbaya kudadadeki watoto wanakuwa walemavu ni kama sumu kabisa lakini nashangaa ile mijamaa inakuza vitambi vyao pale wizarani......
.....afu aibu sana mtu kama profesa mwakyusa daktari bingwa lakini anakuwa punguani namna ile.....
wewe nawe tumia ubongo wako.
Mbona Nyani Ngabu hapigi simu?
Nina hasira mimi.......
Mr, Mushi kutoka Ohio..aikambe!
Ofcourse...Hutaki tutuoe maoni?Halafu nashangaa why mods wanakupa nafasi ya kumwaga matusi humu bila kuchukuliwa hatua yoyote.Namwambia mama yako SLAA atakuambia, baba yangu huwa haongei na Machoko.
mkuu ungekuwa unawaona watanzania huku ungelia.......juzi nimekutana na bibi mmoja katupia fulana ya ccm na kepu la njano kudadadeki na kanga ya ccm...anakuambia yeye ni ccm tu kwasababu wapinzani wataleta vita....ahahah! haya mambo ya picha kma hizi mwafrika naye anayaweza kinoma
wengine kama bahati tupo...wenzetu wanatusubiri Rose garden bar....kapiga simu jamaa kutoka moscow huko kweny mabarafu huko
guys hakuna mtu kutika hapa Tanzania .. mazee ningepiga sema mambo ya credit mazee:dance:
Ofcourse...Hutaki tutuoe maoni?Halafu nashangaa why mods wanakupa nafasi ya kumwaga matusi humu bila kuchukuliwa hatua yoyote.
BTW una chuki sana wewe,za kidini na kikabila...
Mtangazaji ni Geeque na si MKJJ,ila sauti zao zinafanana kiaina....Mwanakijiji umeweka watu kibao sana kwenye line... jaribu kuwarudia basi
si unajua tena minutes zinakwenda....lol
Ofcourse...Hutaki tutuoe maoni?Halafu nashangaa why mods wanakupa nafasi ya kumwaga matusi humu bila kuchukuliwa hatua yoyote.
BTW una chuki sana wewe,za kidini na kikabila...