Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

Huyo burn ndio zake hizo, mods wanamuogopa sana
Huwa anawatisha kwamba atakuja na jina la tofauti....Na huwa anadai eti mods wamwepushie hiyo dhahma ya kujisajili kwa jina tofauti...Na inaonekana amefanikiwa sana kuendeleza kauli za chuki na matusi.
 
Huwa anawatisha kwamba atakuja na jina la tofauti....Na huwa anadai eti mods wamwepushie hiyo dhahma ya kujisajili kwa jina tofauti...Na inaonekana amefanikiwa sana kuendeleza kauli za chuki na matusi.

ndio maana sikupendi kabisa
 
hilo la wanafunzi kutokupiga kura ni kitu kibaya saana.....ccm wanajua adui wao awareness so wanajua wanachuo wengi wako aware na madudu yao...hawataki wapige kura....juzi nimesikia redioni morogoro kuna pedejee ananunua kadi za kupigia kura
 
ndio maana sikupendi kabisa
Nani anataka mapenzi?nani anakufahamu?Unapimwa kwa unachoposti..Ama umeweka picha ya usher ukitegemea utapendwa?Unakuja kutafuta mapenzi kwenye jukwaa hili?pia usiseme "Hunipendi" sema huwapendi wakristo na wachagga,hilo siyo shida,
 
Asante sana mkuu kumbe kuna jamaa kibao wa JF wanasikiliza hii. Tatizo skype iko busy sana nadhani wengi wanataka kuongea. Nimejaribu dunia nzima niteme nyongo in vain. Thanx ngoja niibookmark!

skype yake ndio mazee sijui anatumia ipi!! kma kuna mtu anaijua tunaomba atumwagia jamaa sauti yake inafanana na ya mwanakijiji
 
asante sana GQ.... hata hiyo sio mbaya. FM Academia mwisho wa maneno. Nilipokuwa bongo karibuni nilipenda sana show zao.

Nilikuwa nataka kusikiliza ile chorus yao ya samaki ana vipande vingapi -- vitatu (nadhani iko kwenye nyimbo zao mpya).
 
Back
Top Bottom