Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

Wandugu tulikuwa tunalalamika sana miaka ya nyuma kuwa Tanzania haitangazwi..sasa tunaiona CNN tunalalamika tena, au??!!
 
tuwekeeni namba basi tujaribu kupiga na siye tutoe maoni on this defining moment...
 
ahahaahah!! ushanunua ugomvi wewe
siamini Nyani ngabu anaongea kama analia.....na huyu msela anaongea kama mtasha ndio hasheem thabeet?

anyway...hihihihihihi wazeiya naona mnapiga kelele bure ukija kwenye ground huku mavumbini watu hawakuelewi kabisa....wale wazee wa East afrika wanalala bara barani mie siwahurumii kabisaaaaa......jk aliwaita diamind jubilee akaimba mipasho kwa wafanyakazi na wao wakashangilia....shenzi kabisa...
 
Wandugu tulikuwa tunalalamika sana miaka ya nyuma kuwa Tanzania haitangazwi..sasa tunaiona CNN tunalalamika tena, au??!!
Hakulalamika Tanzania kuonekana CNN, amekandia kutumia tangazo la biashara CNN kama fimbo ya kusema "Tanzania inaendelea, siku hizi tunaiona hata CNN"

Maendeleo ni kitu kikubwa zaidi ya matangazo ya biashara.
 
Back
Top Bottom