Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

GQ, uko juu mi kila siku uwa nasikiliza hii radio nikiw nimeminise Itunes huku nikiendelea kutupia maoni humu hivi huwa mnanakuwa na kipindi maalumu cha nyimbo za mambo ya pwani? huwa naona mnamix na zingine
 
asante sana mkuu manake nmejaribu kugoogle nikawa sijaipata

Ulikuwa unatumia keywords zipi? Nipe hizo ili niwasilishe kwa wahusika... Ukitumia maneno kama "ushahidi vijana fm...", utapata link ya post kuhusu hicho chombo kwenye blog...

Ukitumia "vijanafm crowdmap", itakupeleka moja kwa moja kwenye tovuti!
 
Ebanae, GQ, mtwange huyo wa Musoma maswali mengi kadri unavyoweza. Hasa juu ya zile fujo za Tarime za siku chache zilizopita! Tafadhali!
 
gq huyo jamaa wa musoma inabidi atupe picha halisi nadhani utampiga maswali ya ukweli
inapendeza sana!!!!
 
jamaa anasema kuwa mgombea wao wa chadema alihongwa ili ajitoe inasikitisha sana< alibambikiwa badae akatuhumiwa kuwa alichukua hongo
 
Mbunge kupitishwa bila kupingwa is a byach, unconstitutional even.
 
hureeeeee, mpiga simu tokea Temeke Tanzania

MUNGU akubariki mzee wetu, mtoeni Kikwete madarakani na ccm yake.
 
wera weraaaaaa!!! thanks mzee GQ naona umenirusha inapendeza sana
naona kapiga simu jamaa kutika temeke NI MMOJA WA WALE WAZEE WA EAST AFRICA
ongea naye huyo jamaa akapige kura ,naona jamaa anastaka asipige kura.
 
wera weraaaaaa!!! thanks mzee GQ naona umenirusha inapendeza sana
naona kapiga simu jamaa kutika temeke NI MMOJA WA WALE WAZEE WA EAST AFRICA
ongea naye huyo jamaa akapige kura ,naona jamaa anastaka asipige kura.

amuulize pia kama hiyo mia sita ni kwa mwezi au kwa mwaka?
 
Back
Top Bottom